eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Nimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna mlima was kupanda ligi kuu TZ,kuna kutuwakilisha kimataifa,au ndo zile zile dharau?Time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app