Kocha wa Simba amehujumu timu kuwatoa Chama na Morrison

Kocha wa Simba amehujumu timu kuwatoa Chama na Morrison

Mngefuka ungeandika haya!???
 
Morrison, Chama, Sakho Leo nikama hawakuwepo uwanjani, kutoka Kwa Faisal Salum na Mabadiliko yaliyo fanywa na Simba ndio kidogo iliwafanya Simba angalau dk kumi za mwisho kufika mbele na kutia kashkash.
 
Chama hawezi kucheza mpira wa vurugu anataka weka na kuachia kwa ujumla hajawahi kuwa na kiwango bora katika mechi hizi, yule tahira wenu Morrison angetembelea red card. Hii ni derby hakuna timu ya nje ya Tanzania kwamba utabebwa!!
 
Simba tengenezeni timu na muukubali ukweli yaani unamuacha Kagere nje unaingiza Boko?

Leo yanga pamoja na kukosa bahati ila defence yenu imefanya kazi nzuri
Kama nikuwabana tuliwazidi kila pahala hadi kuwatoa wachezaji wenu wote tegemeo

Chama out
Morisson out
Sakho out
Mugalu out
Kanoute out

Inshallah tukutane Fa
 
Chama ni mzee, ameshazeeka ndio maana aliachwa na RS Berkane.
 
Kwenye mechi za Derby za Yanga na Simba,,Chama huwa anapotea,,ukiacha ile ya FA ambayo Simba alishinda 4-1 baada ya baadhi ya Wachezaji wa Yanga kufanya hujuma,,otherwise jamaa siku zote mechi za Derby kwake huwa ngumu !
 
Ni kweli huwa anachemsha ndo maana akarudishwa RS berkane na kabaki kiberenge aliyetoka Yanga
 
Wachezaji wa yanga huwa wanakata moto kipindi cha pili ambapo ndio muda wa kuwapiga ulifika lakini bahati mbaya ambao waliwapa taabu mabeki ndio wakatolewa.
On target attempts zote zimefanyika baada ya wao kutolewa.
 
Back
Top Bottom