Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah. Basi tukupe team wewe.Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Kwahiyo kucoment hivyo tu ndio inajustfy kwamba unajua mpira zaidi yanguUtamuelewaje nawe mpira huujui. Morrison ana kadi ya njano na ameshaanza kupata jazba hujui hatari yake?
Morrison angeendelea, kad nyekundu ingemuhusuUtamuelewaje nawe mpira huujui. Morrison ana kadi ya njano na ameshaanza kupata jazba hujui hatari yake?
Hebu muelekeze huyuUtamuelewaje nawe mpira huujui. Morrison ana kadi ya njano na ameshaanza kupata jazba hujui hatari yake?
Morrison angeendelea, kad nyekundu ingemuhusu
Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Cashman, tafuta fedha mkuu utapata stroke bure na mambo ya ajabu, wewe sio coach wa Simba, tatizo lipo wapi mkuu?
On target attempts zote zimefanyika baada ya wao kutolewa.Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Ni kweli huwa anachemsha ndo maana akarudishwa RS berkane na kabaki kiberenge aliyetoka YangaKwenye mechi za Derby za Yanga na Simba,,Chama huwa anapotea,,ukiacha ile ya FA ambayo Simba alishinda 4-1 baada ya baadhi ya Wachezaji wa Yanga kufanya hujuma,,otherwise jamaa siku zote mechi za Derby kwake huwa ngumu !
On target attempts zote zimefanyika baada ya wao kutolewa.