Kocha wa Simba amewakataa wachezaji 5 wapya

Umeandika upuuzi mwingi ni kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa Mimi.
Gadiel.
Kapama.
Kanute.
Banda.
MZUNGU.
Boko.
Nyoni.
Kyombo.
 
Kila nikitafakari kinachofanya Erasto Nyoni aendelee kuwepo Simba huwa nakosa jawabu nakubaki na mshangao
 
Upuuuzi mtupu
Kwasasa Sina namna kukataa shutuma za kuitwa mpuuzi kwakua ukweli siku zote uwa unajitetea wenyewe. Ninacho sisitiza ni swala la muda tu Kila kitu kitakuwa Hadharani.
 
Dejan anamlaga nini uyo kocha?
 
Huu ndo ukweli mtupu, lakini ndg yangu utapondwa mawe
 
Kila nikitafakari kinachofanya Erasto Nyoni aendelee kuwepo Simba huwa nakosa jawabu nakubaki na mshangao
Nadhani anabaki kutokana na kua na uwezo wa kucheza nafasi nyingi dimbani.

Na kwa Sasa nadhani anabaki kama beki wa kati kwa Jinsi alivyotambulishwa.

Lingine ufundi bado anao mguuni ila sometime ni mwili/umri tu ndio humuangusha.Ahsante
 
Hivi yule mzungu was simba anaitwa Mani vile1
 
Huyu kocha ndio atakaa muda mfupi Simba kuliko makocha wote waliopita ni suala la muda tu
Kocha huyu anaipeleka Simba fainali ya CAF Champions league!! Kaanza kwa kitoa dozi ligi kuu!! Poleni mnaojiota wananchi!!
 
Victor Akpan kacheza mechi gani akashindwa ku perform mpaka aseme hana kiwango?
Huyu kocha ana hasira sababu mwanae "Mlete Mzungu" hakubaliki
 
SASA ITAKUWAJE TUTAWAAMBIA NINI WATU MAANA HIZI SAJILI ZILIVYOTINGISHA NCHI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…