SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Umeandika upuuzi mwingi ni kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butuSimba kinacho wakwamisha ni fedha, kwasasa fedha za usajili hakuna. M- bet walisain mkataba wa 12.5 b Kwa miaka 5.
Na iliwalazimu Simba ku sign mapema Dili la M-bet kwakua muda wa usajili ulifika na hawakua na fedha.
MO alishagoma kutoa fedha akimwambia Barbara klabu ijiendeshe Kwa kipato chake.
Installment ya Fedha za M-bet ndio zilizo sajili Sasa mzigo umekata na usajili umefanikiwa Kwa 60%.
Bahati mbaya Mashabiki wameambiwa mkataba wa M-bet ni Bilion 26 Ili ionekane wameizidi Yanga, Sasa kamba walizotengeneza Kwa kudanganya umma zinawafunga wenyewe.
Muda si mrefu kilakitu kitakua Hadharani.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app