Kocha wa Simba anza kuandaa begi lako upepo lazima ukuchukuwe

Mbegu Jr

Senior Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
152
Reaction score
178
Hii simba inayokwenda kushiriki champions league ndii ina mabeki wachovu namna hii kumbuka game nyingi za huko utakazo kutanazo zinafanania na hizi ambazo yanga amekutia presha.

Viungo wa simba wamebaki jina tu pale wamebaki kuwa maaarufu wa kucheza na timu ndogo na kuzionesha umwamba utakutana tena na waarabu sababu sijui itakuwa ni ipi

Simba inamuhitaji zaidi fraga kuliko hata muzamiru huo ndio utakuwa ukweli miaka yote ili wawa acheze vizuri fraga amkabie vile vile kiungo ya simba inamuhitaji zaidi huyu mtu angalau ndio wanaweza kumaintain kukaba na kushambulia Because he is real machine anawafutia makosa wachezaji wengi tu pale. Wengi wanaendelea kumuota kotei lakini mnasahau kwamba fraga ni mzuri kuliko hata huyo kotei duh,ugua pole fraga.

Wewe kocha wewe timu inazidi kupoteza fighting spirit kila siku wachezaji wanakuwa wamerelax hata husukumo golini kwa mpinzani ni wa kusua sua ukikutana na timu za ligi ya mabingwa watakuonesha matatizo yako vizuri

......................

George Masatu kaongeza msumari kwenye
 
Attachments

  • davidpascol_20201109_125109_0.mp4
    6.8 MB
Kuhusu Kocha nakuunga mkono, ni kama hajui anatakiwa afanye nini wakati gani. Lakini Viungo unawaonea, Mkude jana kacheza roll yake ya defending midfield kwa ustadi unaostahili. Tatizo Mzamiru, huyu Bwana mdogo jana hakuwà tofauti na Pogba mbovu.
 
Tatizo la Mzamiru linajirudia bora angeanza Ndemla au Kahata
 
Hivi Haji Manara anacheza namba ngapi pale Simba?
Maana anaiongelea Simba utadhani Simba ni sawa na Barcelona na Haji Manara ndio Messi mwenyewe.
 
Kuhusu Kocha nakuunga mkono, ni kama hajui anatakiwa afanye nini wakati gani. Lakini Viungo unawaonea, Mkude jana kacheza roll yake ya defending midfield kwa ustadi unaostahili. Tatizo Mzamiru, huyu Bwana mdogo jana hakuwà tofauti na Pogba mbovu.
Mzamiru kapafom vizuri ila bwalya na chama ndio wameihujum timu
 
Kuhusu Kocha nakuunga mkono, ni kama hajui anatakiwa afanye nini wakati gani. Lakini Viungo unawaonea, Mkude jana kacheza roll yake ya defending midfield kwa ustadi unaostahili. Tatizo Mzamiru, huyu Bwana mdogo jana hakuwà tofauti na
Kwa kiasi chake lakini kwa mchezaji wa level yake hatakiwi tena kukumbushwa majukumu yake uwanjani
 
SHOW GAME IMEFANYA MASHABIKI WAONE SIMBA NI KAMA ZAMALEK
 
Chama alikutana na mbabe ambaye hakumtarajia lakini bwalya bado tim haijamzoea vya kutosha kutokana na aina ya uchezaji wake
Chama labda tuseme aliumia lakini Jana pasi za mwisho zilimshinda na zaidi mwisho ni mwa mechi ilipigwa kross inamnyookea akiwa peke yake hakuruka
 
Chama labda tuseme aliumia lakini Jana pasi za mwisho zilimshinda na zaidi mwisho ni mwa mechi ilipigwa kross inamnyookea akiwa peke yake hakuruka
Chama alitengeneza nafasi na hazikutumiwa vema kwa sababu yanga walimkamia iliwapa advantage wachezaji wengine Simba sema wachezaji wenyewe kina Mzamiru
 
Chama alitengeneza nafasi na hazikutumiwa vema kwa sababu yanga walimkamia iliwapa advantage wachezaji wengine Simba sema wachezaji wenyewe kina Mzamiru
Binafsi sikuona kosa la mzamiru ila ni chuki zenu tuu,Jana mzamiru alifanya kazi yake vizuri kama unatafuta wa kumlaumu lazima atokee kwenye safu ya ushambuliaji

Nazani siku nyingne kocha awe anapanga

Kondeboy. Bocco. Kahata/Dilunga

Halafu chama acheze chini yao
 
Penati ya kupewa ilianzia kwa Mzamiru bahati mbaya bado mtandao uko slow ningeweka clip uangalie vizuri
 
Mchezaji anaweza kuonekana kwenye matukio mengi uwanjani lakini akawa hana msaada kwa timu akipata mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…