Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Morrison anakula hela za mazwazwa. US $ 10,000 bila mandishi wala kusaini popote. Hiyo akili?Family problem anayo Morison hadi anamzimia simu kocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morrison anakula hela za mazwazwa. US $ 10,000 bila mandishi wala kusaini popote. Hiyo akili?Family problem anayo Morison hadi anamzimia simu kocha
Nilitamani Fraga acheze leo,lakini kwasababu hakuwepo hata kwenye ‘Mbao’ sina sababu ya kulaumu.Kwanini asiweke mbadala Fraga wamekaa kumbania Mzamiru katoa maboko kibao
Sababu yakwanza; Kocha ni KUKU KISHINGO!Kijana mbona hujaweka sababu za kutaka afukuzwe? Unadhani wote tunafikiri kama ufikiriavyo wewe?
Mechi ijayo kitengo chao kitaingia kazini.Bila kuhonga refa ushindi ni ndoto. Kitengo Cha kuhonga marefa bado hawajajichangisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ungeshauli akitoka mzamiru aingie naniAnaona mapungufu anashindwa kurekebisha mzamiru hakuwa mchezoni lakini kambakisha hadi mwisho kwa kifupi kiungo kilipwaya
Aliyekuambia fraga kaja kucheza mpira nani!? Wale ni watalii. Masau Bwire kasema timu inaleta wachezaji toka ulaya waje kutalii unategemea nini?Kwanini asiweke mbadala Fraga wamekaa kumbania Mzamiru katoa maboko kibao
Praise team ya Ng'ombe na Manifogo.Ndo kitu gani hicho?
Porojo hizoHata walevi nao wa maisha club.
Hamna kocha paleHuyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu.
#kishingoout#kishingorudikwenu
Vikongwe ndio vinaiua simbaTimu imejaa vikongwe Wawa,Nyoni,Deo Kanda,Kagere,Boko na wengine walikuwa Wapishi toka Brazil,unategemea kocha afanyeje