Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe wavumilivu mkuu. 😎😎Tume
tumechoka matokeo mabovu na tumemchoka na yeye pia, aondoke atuachie timu yetu.
Sasa Shadeeya akija kwetu Njaa Kali Fc (yanga) Tutamlipa nini na pesa hatuna?😬😜
Siyo kuongoza mipoints ni hivi Simba inakamilisha ratiba baada ya kuwatoa jasho Yanga na ndugu zake kwenye ligi, na kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2019/2020 huku zikiwa zimesalia mechi chache.Tuwe wavumilivu mkuu. 😎😎
Yaani tunaongoza mipoints yote ile lakini hujaliona hilo. Lol.
Troisième Ceil 😂😂😂
Nilijua kabisa nyie Yanga hamuwezi Mtaka mana nimeona sehemu wanasema kabla ya kuja huku kwetu alikuwa Muuza matunda eti. Teh tehSasa Shadeeya akija kwetu Njaa Kali Fc (yanga) Tutamlipa nini na pesa hatuna?😬😜
Ni bora abaki huko huko Lunyasi kwa matajiri wa Nchi kuliko akaja kwetu Yanga.
Au unasemaje Shadeeya
Hivi jasho tulitoka sisi au wao Yanga acha masihara ujue. 😅😅Siyo kuongoza mipoints ni hivi Simba inakamilisha ratiba baada ya kuwatoa jasho Yanga na ndugu zake kwenye ligi, na kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2019/2020 huku zikiwa zimesalia mechi chache.
Kwako @Shadeeya🐸🐸😉
🤣 mvumilieni kuku kishingo anaijenga timuHapa kwa kweli hatuna kocha, kila siku anajaribu tu team. Mpaka watu 2achachamae ndo akili huwa zinamrudi, huyu alisababishaga mpaka mo akaandika barua ya kujitoa team ikiwa Zenji.
Hahahaa Shadeeyaaa ila tuwe wakweli mimi ni Yanga damu lakini Ubingwa ni wa Simba Mnyama .Hivi jasho tulitoka sisi au wao Yanga acha masihara ujue. 😅😅
Penye ukweli tuwage wakweli bana Yanga walijua kututoa jasho bana. 😂😂😂
Kwa mwendo huu mpya tuliokuja nao sisi Mikia hasa baada ya Corona kupungua hawa wazee wetu wamejichokea si ajabu nikazipoteza Points nyingi kabla sijakaa sawa na ubingwa nikausahau kabisaa.Hahahaa Shadeeyaaa ila tuwe wakweli mimi ni Yanga damu lakini Ubingwa ni wa Simba Mnyama .
Si ndio @Shadeeya😉🐸🐸🐸
Aisee muwe na heshima kwa kocha wa Mabingwa wa nchi.Nilijua kabisa nyie Yanga hamuwezi Mtaka mana nimeona sehemu wanasema kabla ya kuja huku kwetu alikuwa Muuza matunda eti. Teh teh
Na yanga munahitaji makocha wenye purofesheno zao. 😎
Sijakataa mbona. 😅😅Aisee muwe na heshima kwa kocha wa Mabingwa wa nchi.
Simba nguvu moja
Siwezi kubisha Shadeeya wadhungu wanasema weiti & sii.Kwa mwendo huu mpya tuliokuja nao sisi Mikia hasa baada ya Corona kupungua hawa wazee wetu wamejichokea si ajabu nikazipoteza Points nyingi kabla sijakaa sawa na ubingwa nikausahau kabisaa.
Nitashangaa ukibisha na hili. 😎
takukuru wangeanza kwenda uwanjani tangu round ya kwanza lile goli la pili walilowapiga yanga hawa jamaa siku ile lisingekataliwa...ni bahati yenu tu mlionga marefa wakawapunguzia kiwango cha aibu mkaishia kupewa kipigo kidogoSimba timu ya kawaida ni yule Msomali anawabeba tu..ila sasa Takukuru wanaenda viwanjani mtazoea tu mikia nyie
Sawa sawa kabisa haya sema nguvu mojaaa.😬Sijakataa mbona. 😅😅
profeshino ya u DJ???Nilijua kabisa nyie Yanga hamuwezi Mtaka mana nimeona sehemu wanasema kabla ya kuja huku kwetu alikuwa Muuza matunda eti. Teh teh
Na yanga munahitaji makocha wenye purofesheno zao. 😎
Akaaa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Sawa sawa kabisa haya sema nguvu mojaaa.😬
Ekizagtilliyi.Siwezi kubisha Shadeeya wadhungu wanasema weiti & sii.
Simba nguvu moja
😂😂profeshino ya u DJ???
Rudi hapa huko unakokimbilia kuna Simba.🐯Akaaa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️