Kocha wa Simba atimuliwe

Kocha wa Simba atimuliwe

Tuwe wavumilivu mkuu. 😎😎

Yaani tunaongoza mipoints yote ile lakini hujaliona hilo. Lol.

Troisième Ceil 😂😂😂
Siyo kuongoza mipoints ni hivi Simba inakamilisha ratiba baada ya kuwatoa jasho Yanga na ndugu zake kwenye ligi, na kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2019/2020 huku zikiwa zimesalia mechi chache.

Kwako @Shadeeya🐸🐸😉
 
Sasa Shadeeya akija kwetu Njaa Kali Fc (yanga) Tutamlipa nini na pesa hatuna?😬😜

Ni bora abaki huko huko Lunyasi kwa matajiri wa Nchi kuliko akaja kwetu Yanga.
Au unasemaje Shadeeya
Nilijua kabisa nyie Yanga hamuwezi Mtaka mana nimeona sehemu wanasema kabla ya kuja huku kwetu alikuwa Muuza matunda eti. Teh teh

Na yanga munahitaji makocha wenye purofesheno zao. 😎
 
Siyo kuongoza mipoints ni hivi Simba inakamilisha ratiba baada ya kuwatoa jasho Yanga na ndugu zake kwenye ligi, na kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2019/2020 huku zikiwa zimesalia mechi chache.

Kwako @Shadeeya🐸🐸😉
Hivi jasho tulitoka sisi au wao Yanga acha masihara ujue. 😅😅

Penye ukweli tuwage wakweli bana Yanga walijua kututoa jasho bana. 😂😂😂
 
Hapa kwa kweli hatuna kocha, kila siku anajaribu tu team. Mpaka watu 2achachamae ndo akili huwa zinamrudi, huyu alisababishaga mpaka mo akaandika barua ya kujitoa team ikiwa Zenji.
🤣 mvumilieni kuku kishingo anaijenga timu
 
Hivi jasho tulitoka sisi au wao Yanga acha masihara ujue. 😅😅

Penye ukweli tuwage wakweli bana Yanga walijua kututoa jasho bana. 😂😂😂
Hahahaa Shadeeyaaa ila tuwe wakweli mimi ni Yanga damu lakini Ubingwa ni wa Simba Mnyama .

Si ndio @Shadeeya😉🐸🐸🐸
 
Hahahaa Shadeeyaaa ila tuwe wakweli mimi ni Yanga damu lakini Ubingwa ni wa Simba Mnyama .

Si ndio @Shadeeya😉🐸🐸🐸
Kwa mwendo huu mpya tuliokuja nao sisi Mikia hasa baada ya Corona kupungua hawa wazee wetu wamejichokea si ajabu nikazipoteza Points nyingi kabla sijakaa sawa na ubingwa nikausahau kabisaa.

Nitashangaa ukibisha na hili. 😎
 
Nilijua kabisa nyie Yanga hamuwezi Mtaka mana nimeona sehemu wanasema kabla ya kuja huku kwetu alikuwa Muuza matunda eti. Teh teh

Na yanga munahitaji makocha wenye purofesheno zao. 😎
Aisee muwe na heshima kwa kocha wa Mabingwa wa nchi.

Simba nguvu moja
 
Kwa mwendo huu mpya tuliokuja nao sisi Mikia hasa baada ya Corona kupungua hawa wazee wetu wamejichokea si ajabu nikazipoteza Points nyingi kabla sijakaa sawa na ubingwa nikausahau kabisaa.

Nitashangaa ukibisha na hili. 😎
Siwezi kubisha Shadeeya wadhungu wanasema weiti & sii.

Simba nguvu moja
 
Simba timu ya kawaida ni yule Msomali anawabeba tu..ila sasa Takukuru wanaenda viwanjani mtazoea tu mikia nyie
takukuru wangeanza kwenda uwanjani tangu round ya kwanza lile goli la pili walilowapiga yanga hawa jamaa siku ile lisingekataliwa...ni bahati yenu tu mlionga marefa wakawapunguzia kiwango cha aibu mkaishia kupewa kipigo kidogo
 
Back
Top Bottom