Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni utopolo tuHuyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu.
#kishingoout#kishingorudikwenu
Bora wewe umekuwa muwazi. Sisi watanzania tunapenda sana kuwadharau makocha wazawa na kuwatukuza wazungu hata kama uwezo wao mdogo. Lakini ni hawahawa wakina Mexime, Amri Said, Mayanga, Bares, Katwila, Rishard. n.k. ndio wanawanyoosha makocha wazungu kila siku kwenye ligi. Kwa Simba hii mpe Jamhuri, Matola au Amri Said na Yanga mpe Mexime au Adolf Rishard halafu wape mishahara na marupurupu nusu ya wanaolipwa hao makocha wazungu nina uhakika kwenye ligi ya mabingwa mwaka wa kwanza na wa pili watapata shida kidogo lakini baada ya hapo timu za Tanzania zitafanya vizuri sana. Tunataka makocha wetu wawe wazuri lakini lazima tuwaache kwanza wakanyooshwe kwa msimu mmoja au miwili mfululizo kwenye mashindano ya Afrika ndipo tutapata ubora wao.mimi sitaki kuwa mnafiki,huyu kocha hamna kitu. anakosa plan B kabisa. mechi zote za Yanga,na hata hiyo ya Ruvu
Haya ndio mapungufu makubwa ya kocha wetu anashindwa kuwa na plan b pale anapoona game plan imeshindikana yanga walitufunga si kwa sababu ni wazuri zaidi yetu bali kocha wao alishatusoma mapungufu yetumimi sitaki kuwa mnafiki,huyu kocha hamna kitu. anakosa plan B kabisa. mechi zote za Yanga,na hata hiyo ya Ruvu
Simba ni timu kubwa sana kwa makocha wazawa hawa makocha wazawa wanaweza mechi za kukamiana ila sielewi kwanini kocha aliwaacha dilunga na mzamiru muda mrefu wakati ilionekana game imewakataa halafu mzamiru hawezi kucheza kiungo mkabaji kwanza badala ya kupokonya mpira yete ndio alikuwa anapokonywa wakati dilunga badala ya kulisha wafungaji yeye alikuwa anawaza kufunga matokeo yake kagere akageuka mchezeshaji hata kama nafasi hana boko alikuwa anashindwa kukaa sehemu sahihiBora wewe umekuwa muwazi. Sisi watanzania tunapenda sana kuwadharau makocha wazawa na kuwatukuza wazungu hata kama uwezo wao mdogo. Lakini ni hawahawa wakina Mexime, Amri Said, Mayanga, Bares, Katwila, Rishard. n.k. ndio wanawanyoosha makocha wazungu kila siku kwenye ligi. Kwa Simba hii mpe Jamhuri, Matola au Amri Said na Yanga mpe Mexime au Adolf Rishard halafu wape mishahara na marupurupu nusu ya wanaolipwa hao makocha wazungu nina uhakika kwenye ligi ya mabingwa mwaka wa kwanza na wa pili watapata shida kidogo lakini baada ya hapo timu za Tanzania zitafanya vizuri sana. Tunataka makocha wetu wawe wazuri lakini lazima tuwaache kwanza wakanyooshwe kwa msimu mmoja au miwili mfululizo kwenye mashindano ya Afrika ndipo tutapata ubora wao.
Ndio maana mara nyingi sana nasema kwa kocha wa Simba bodi ndiyo yenye maamuzi ya mwisho lakini kwa hakika kabisa ubora wa wachezaji ilio nao Simba ndio inamfichia aibu huyu mzungu. Kwa mfano mechi ya juzi na Ruvu pamoja na ubora wa Ruvu na kucheza mpira vizuri sana kuizidi Simba Kocha alishindwa kuyaona mapungufu na kufanya mabadiliko ndani ya dakika 20 - 30 za mwanzo. Na alikosa kabisa "plan B" ya kuweza kuwadhibiti Ruvu zaidi kudra za mwenyezi Mungu ndizo ziliikoa Simba isipate kichapo. Mimi shabiki tu wa kawaida wa mpira lakini niliona mapungufu mengi yaliyohitaji mabadiliko ya wachezaji ndani ya dakika hizo 20 mpaka 30 baada ya mchezo kuanza. Na Ruvu walikosa umakini kidogo sana kwani walikuwa na uwezo wa kuimaliza ile mechi ndani ya dakika 20 za mwanzo kwa kupata angalau goli 3 za haraka haraka.
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Simba ni timu kubwa lakini je kocha waliyenaye sasa hivi ana uwezo kulingana na ukubwa wa timu ya Simba? Je kocha walinaye sasa hivi anawazidi viwango kwa kiasi gani makocha wazawa? Je unafahamu kuwa makocha wazawa King Kibaden na Tito Mwaluvanda walizifanyia nini Simba na Yanga kwenye mashindano ya Afrika kipindi cha nyuma?. Tusiwadharau makocha wazawa na kutukuza wageni wakati hawa hawa wazawa wanawanyoosha hao wazungu kila week end hapo shamba la bibi. Tuwapitishe kwenye tanuru la mashindano ya Afrika kwa miaka miwili mfululizo huku tukiwapeleka kozi na kuwalipa hata nusu ya mishahara ya hao wazungu nadhani tutapata wakina "Ibenge" wetu hapa kama ilivyo Kongo. Kama kiwango cha kocha mzungu hakipishani sana na cha kocha mzawa ya nini kuingia gharama kubwa ya kumuajiri mzungu badala ya kumpa timu kocha mzawa.Simba ni timu kubwa sana kwa makocha wazawa hawa makocha wazawa wanaweza mechi za kukamiana ila sielewi kwanini kocha aliwaacha dilunga na mzamiru muda mrefu wakati ilionekana game imewakataa halafu mzamiru hawezi kucheza kiungo mkabaji kwanza badala ya kupokonya mpira yete ndio alikuwa anapokonywa wakati dilunga badala ya kulisha wafungaji yeye alikuwa anawaza kufunga matokeo yake kagere akageuka mchezeshaji hata kama nafasi hana boko alikuwa anashindwa kukaa sehemu sahihi
mimi sitaki kuwa mnafiki,huyu kocha hamna kitu. anakosa plan B kabisa. mechi zote za Yanga,na hata hiyo ya Ruvu
maendeleo hayana chamaHakuna shabiki anayejua mpira hata siku moja mana kazi ya shabiki ni kupiga kelele tu
Huyu kocha amekuja Simba kutengeneza cv sio kocha wa kutegemea kufika mbali kwenye michuano mikubwa, kuhusu makocha wazawa wengi wamebweteka Kibadeni au Boniface mara nyingi wanasubiri kufundisha simba na yanga leo hii tuna makocha wengi toka Burundi ni makocha wangapi wametoka hapa kwenda kufundisha nje ya Tanzania lakini makocha hata hawa wanaochipukia hawaendi kusoma kama zamani wanasubiri vikozi vya wiki mbili tatu kwa kifupi hawana moyo wa kujiendeleza watoke nje wafundishe timu zao zikifanya vizuri wataaminiwa Boniface alipigiwa debe timu ya taifa na akapewa mshahara mzuri lakini tulipata kipigo cha aibu AlgeriaNakubaliana na wewe kabisa kuwa Simba ni timu kubwa lakini je kocha waliyenaye sasa hivi ana uwezo kulingana na ukubwa wa timu ya Simba? Je kocha walinaye sasa hivi anawazidi viwango kwa kiasi gani makocha wazawa? Je unafahamu kuwa makocha wazawa King Kibaden na Tito Mwaluvanda walizifanyia nini Simba na Yanga kwenye mashindano ya Afrika kipindi cha nyuma?. Tusiwadharau makocha wazawa na kutukuza wageni wakati hawa hawa wazawa wanawanyoosha hao wazungu kila week end hapo shamba la bibi. Tuwapitishe kwenye tanuru la mashindano ya Afrika kwa miaka miwili mfululizo huku tukiwapeleka kozi na kuwalipa hata nusu ya mishahara ya hao wazungu nadhani tutapata wakina "Ibenge" wetu hapa kama ilivyo Kongo. Kama kiwango cha kocha mzungu hakipishani sana na cha kocha mzawa ya nini kuingia gharama kubwa ya kumuajiri mzungu badala ya kumpa timu kocha mzawa.
Kwangu mimi binafsi ukiniambia Lechantre au Aussems nitakubali ni makocha wakubwa kwa sababu unaona timu ilikuwa inacheza kwa mfumo fulani na mbinu tofauti tofauti. Timu ikizidiwa ilikuwa inabadilisha mfumo humo humo ndani ya uwanja wakati mwingine bila hata ya kubadilisha mchezaji/wachezaji wa kwenye benchi. Any way tuiachie bodi ya Simba kwani yenyewe ndio wanajua zaidi kuhusu benchi lao la ufundi hasa ukizingatia Kaduguda ni kocha "by profession"
Yondani, ngasa, tshishimbi huwaoni hadi uje kwetuTimu imejaa vikongwe Wawa,Nyoni,Deo Kanda,Kagere,Boko na wengine walikuwa Wapishi toka Brazil,unategemea kocha afanyeje