Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu.

Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote ya Simba kusonga mbele badala yake wao Simba wanasonga ugali na dagaa Zanzibar.

Benchikha.jpg
 
Kaomba mbali sana Kuna mtego mbaya viongozi wa Simba wameingia dhidi ya Azam kesho wanapigwa vibaya mno Kisha kwenye ligi watapigwa tena vibaya mno huu ulikuwa mtego hawakupaswa kujaa kijinga
 
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu.

Sababu ni kwamba Kolozidad hawampi thamani pia haoni mipango yoyote ya 5imba kusonga mbele badala yake wao Simba wanasonga ugali na dagaa Zanzibar.
Mfungeni kamba asiondoke huyo
 
Baada ya Kuona anafundisha timu yenye wachezaji wenye vichwa vigumu kumuelewa hatimaye kocha la makombe limeamua litumie njia mbadala kujiondokea baada ya kudai linaondoka kutokana na matatizo ya KIFAMILIA🤣🤣

Ikumbukwe ni majuzi tu baada ya kutandikwa na yanga alikiri mwenyewe kuwa tokea aanze kudundisha soka ajawai kukutana na timu yenye wachezaji wenye vichwa vigumu kumuelewa Kama wa Simba, Sasa kaamua kuchomoka kiaina kaona CV inaporomoshwa kwa Kasi ya kimondo!
 
Sijui nani alimshauri kwenda Simba, kashusha CV kwa kiwango cha kutisha!
Kabla ya kuangalia pesa ni vyema kujiridhisha kwanza mazingira ya kazi unayoenda kuifanya.
Ukisikia timu inamilikiwa na mmoja wa matajiri wa Afrika unaanzia wapi kukataa?
Ukishaingia mkataba ndiyo unagundua kumbe unatakiwa ku report kwa akina Mangungu, na unapewa wapambe akina Kisugu
 
Sijui nani alimshauri kwenda Simba, kashusha CV kwa kiwango cha kutisha!
Kabla ya kuangalia pesa ni vyema kujiridhisha kwanza mazingira ya kazi unayoenda kuifanya.

Kiukweli alikurupuka sana, maana hakuna kipya alichokikuta na alichokiacha. Timu haina mipango yeye anakuja
 
Simba ni ya benchika, mpk itakapo chukua ubingwa wa Africa msimu ujao ndo mtakubali, msichokijua ni kuwa benchika amekuja simba kimkakati na asingeweza kuchukua kombe coz simba ilikua mbovu, ngojeni dirisha la usajili lifunguliwe ndo muone.
 
Ukisikia timu inamilikiwa na mmoja wa matajiri wa Afrika unaanzia wapi kukataa?
Ukishaingia mkataba ndiyo unagundua kukbe unatakiwa ku report kwa akina Mangungu, na unapewa wapambe akina Kisugu
Ndipo alipofeli, kocha mkubwa kama yule anatakiwa kuwa na team ambayo itakuwa na uwezo wa kumkusanyia taarifa kabla hajaingia mkataba na team husika.
 
Mtu ametoka kuchukua ubingwa wa shirikisho na kumfunga bingwa wa Afrika unaongelea robo fainali?
Punguza ushabiki kwenye mambo serious. Nyie kwenu robo fainali ndio mafanikio sio kwa kocha mkubwa kama Benchikha.

Hawa ndio wapiga kula wa mangungu. Kwahiyo mangungu kafaulu tayari. Kwanza kamfunga yanga ngao ya jamii pili kafika robo fainali ya CAFCL
 
Back
Top Bottom