Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

Kwahio ulitegemea hiyo Simba ya akina Jobe na Fred iende nusu?
 
Kwahio ulitegemea hiyo Simba ya akina Jobe na Fred iende nusu?
Suala ni mkataba ndo maana viongozi watakaa kikao kutoa maamuzi wiki ijayo
 
Kwa wachezaji wepi hata yanga walihitaji wachezaji 6 wenye individual skills, ujuzi binafsi, ujasiri na akili ya kufanya maamuzi yenye Tija kwa wakati sahihi
 
Kwamba nikae nisubiri KIBU na wastaafu SAIDO na CHAMA ndo wa-CREATE nafasi kwa magalasa JOBE na FREDDY tumfunge Al AHLY.....
 
Wampe Mgunda the same team halafu uone watakavyocheza mentality ya team ipo weak sn they need freedom
 
hawana ubavu wa kumtimua ila yeye ndio atawatelekeza
 
Mambo ya mipira hapo TU ndo panapochosha yani maisha ya kocha yapo mikononi mwa ushindi tu vikibuma huna kazi doh!
Sasa kocha wa Simba akifungwa na young tu basi anaondoka rasmi.Tujiandae kisaikologia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…