Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Kwahio ulitegemea hiyo Simba ya akina Jobe na Fred iende nusu?Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.
Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?