Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair competition kwenye ligue yetu pendwa kutokana na ndugu zetu hawa kuanza kulia lia mapema kwamba hakuna fair competition kwenye ligue ...........ndipo GSM Ikaona ngoja iwaridhishe ndugu zetu hawa wasije kususia ligi na kushuka daraja kama ni kweli basi tuwape hongera GSM
nini maoni yenu kuhusu hili
Ni mim mchambuzi wenu ......na mwanazuoni wa soka
nini maoni yenu kuhusu hili
Ni mim mchambuzi wenu ......na mwanazuoni wa soka