kocha wa simba Pablo Franco inawezekana ameletwa na GSM ili kuleta Fair competition kwenye ligi yetu pendwa

Afu mwisho wa msimu mje na kejeli zenu tena. Maana makombe hatuwaachiiii ng'oo nyie mbebe ile blenda tu basi na ngao.ya jamii haya ya FA na NBC PL sahauni. Ubingwa haushangiliwi mwanzoni na GSM anasubiria wachezaji na makocha wakuokota ambao wanalipwa bei za kutupa 🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Na hapa bado unaendelea na Mtihani wa Form IV unakuja na Ujinga huu! Sijui ukimaliza Mtihani na kurudi Mtaani utakuwa Mpuuzi kiasi gani manake najua hufaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…