The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
umeona eeeh,...kocha alivyo mpuuzi anang'ang'ania na kotei tu..kotei ni mzuri sawa lakini mkude ana ubora wake piaKwa kikosi kilichopo sasa, katikati namba sita lazima akae Mkude ndio wataona Simba wanacheza kwa move zinazoeleweka, naona sasa Simba wameachana na passing football wamebaki kupiga mipira kwenda mbele for lack of a gifted midfielder the like of Mkude.
ndemla ana matatizo gani?? ivi kweli unalichezesha li luzio lina manufaa gani kwenye timuKama uko serious, Mkude alicheza kama substitute mechi ya mwadui ila bado hajarudi vizuri kwenye fitness yake. Ukisema best in the country mbona National Team hayupo? kuna factors nyingi yeye mwenyewe akijitafiti na kutafuta mafanikio hayo atapata. COACHES na uongozi wakati mwingine wanaishiwa jinsi, anatakiwa kujiongeza ku wa prove wrong if at all wana muonea. Wachezaji wana mabo mengi.
Nami, toka ajiunge na Simba, sijawahi kumuamini!omog hakuna kitu..wawekezaji wamewekeza pesa nyingi sana..lakini hajui kuwatumia wachezaji
Ndio shida ya wasukuma wakilaga miogo mnapenda kufikiria ndani ya Box tu ...haya kwaheriNdiyo maana nimekwambia umeguswa hapa inazungumziwa Simba ya 1.3b na Omog sasa Ulaya tena tumefikaje?zungumzia Simba tuone.
Hee umemaliza kuitetea simba yako hapo?wasukuma nao wameingiaje humu?kweli Wanamme Mbao wamewashika pale pa kutolea haja kubwa.Ndio shida ya wasukuma wakilaga miogo mnapenda kufikiria ndani ya Box tu ...haya kwaheri
Yusuph Mgeta anaitwaJibeki la Mbao jezi namba 16 na limenyoa kipara...lingewavunja vibishoo vya simba..beki katili kama muosha maiti
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.
Mfano neno dictator uchwara ukiliongea kwa kiingereza linapoteza uzito.
Lema kaongea 'actually' mara 83 kwnye interview ya dk 24.
Tunapotaka kuongelea kiingereza cha Rais inabidi tuangalie kwanza wapi tumekanyaga.
Mbona kelele ni dhidi ya Ndemla tu, huyo Kapteni wenu Mstaafu (Mkude) hana dili tena?
Hata mjmi naanza kuwa na wasiwasi na OMOG AondokeJamani muacheni huyo Mkameruni, apewe muda
Barcelona inafunga magoli mkuuKocha mzuri bana mnataka kutuchafulia mwenendo wa timu.Kocha hajafungwa.Timu inacheza kama barcelona mnataka nini..?Nyinyi ni mammluki wa yanga
Mbao ndio mwanaume wako unasahau anavokurushia maji kila ukikanyaga kirumba?Hee umemaliza kuitetea simba yako hapo?wasukuma nao wameingiaje humu?kweli Wanamme Mbao wamewashika pale pa kutolea haja kubwa.
Kama uko serious, Mkude alicheza kama substitute mechi ya mwadui ila bado hajarudi vizuri kwenye fitness yake. Ukisema best in the country mbona National Team hayupo? kuna factors nyingi yeye mwenyewe akijitafiti na kutafuta mafanikio hayo atapata. COACHES na uongozi wakati mwingine wanaishiwa jinsi, anatakiwa kujiongeza ku wa prove wrong if at all wana muonea. Wachezaji wana mabo mengi.