The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
umeona eeeh,...kocha alivyo mpuuzi anang'ang'ania na kotei tu..kotei ni mzuri sawa lakini mkude ana ubora wake piaKwa kikosi kilichopo sasa, katikati namba sita lazima akae Mkude ndio wataona Simba wanacheza kwa move zinazoeleweka, naona sasa Simba wameachana na passing football wamebaki kupiga mipira kwenda mbele for lack of a gifted midfielder the like of Mkude.