Kocha wa Simba SC uwezo wake Mdogo

Kocha wa Simba SC uwezo wake Mdogo

Kwa kikosi kilichopo sasa, katikati namba sita lazima akae Mkude ndio wataona Simba wanacheza kwa move zinazoeleweka, naona sasa Simba wameachana na passing football wamebaki kupiga mipira kwenda mbele for lack of a gifted midfielder the like of Mkude.
umeona eeeh,...kocha alivyo mpuuzi anang'ang'ania na kotei tu..kotei ni mzuri sawa lakini mkude ana ubora wake pia
 
Kama uko serious, Mkude alicheza kama substitute mechi ya mwadui ila bado hajarudi vizuri kwenye fitness yake. Ukisema best in the country mbona National Team hayupo? kuna factors nyingi yeye mwenyewe akijitafiti na kutafuta mafanikio hayo atapata. COACHES na uongozi wakati mwingine wanaishiwa jinsi, anatakiwa kujiongeza ku wa prove wrong if at all wana muonea. Wachezaji wana mabo mengi.
ndemla ana matatizo gani?? ivi kweli unalichezesha li luzio lina manufaa gani kwenye timu
 
omog hakuna kitu..wawekezaji wamewekeza pesa nyingi sana..lakini hajui kuwatumia wachezaji
Nami, toka ajiunge na Simba, sijawahi kumuamini!
Ni bora hata huyo Mganda, alipokuwa amekabidhiwa timu, ilikuwa inaonekana inafanya nini!
 
Jibeki la Mbao jezi namba 16 na limenyoa kipara...lingewavunja vibishoo vya simba..beki katili kama muosha maiti
 
Ndiyo maana nimekwambia umeguswa hapa inazungumziwa Simba ya 1.3b na Omog sasa Ulaya tena tumefikaje?zungumzia Simba tuone.
Ndio shida ya wasukuma wakilaga miogo mnapenda kufikiria ndani ya Box tu ...haya kwaheri
 
Ndio shida ya wasukuma wakilaga miogo mnapenda kufikiria ndani ya Box tu ...haya kwaheri
Hee umemaliza kuitetea simba yako hapo?wasukuma nao wameingiaje humu?kweli Wanamme Mbao wamewashika pale pa kutolea haja kubwa.
 
Ww toa matazamo eako usinilazimishe niseme unalowaza
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.

Mfano neno dictator uchwara ukiliongea kwa kiingereza linapoteza uzito.

Lema kaongea 'actually' mara 83 kwnye interview ya dk 24.

Tunapotaka kuongelea kiingereza cha Rais inabidi tuangalie kwanza wapi tumekanyaga.

Mbona kelele ni dhidi ya Ndemla tu, huyo Kapteni wenu Mstaafu (Mkude) hana dili tena?
 
Kocha mzuri bana mnataka kutuchafulia mwenendo wa timu.Kocha hajafungwa.Timu inacheza kama barcelona mnataka nini..?Nyinyi ni mammluki wa yanga
 
Hee umemaliza kuitetea simba yako hapo?wasukuma nao wameingiaje humu?kweli Wanamme Mbao wamewashika pale pa kutolea haja kubwa.
Mbao ndio mwanaume wako unasahau anavokurushia maji kila ukikanyaga kirumba?
 
Omag kiwango chake kimfikia mwisho kuifundisha simba kwa sasa hana chakusingizia maana team imekamilika kila idala hawata chukua kombe kama watabaki na Hugo kocha
 
Kama uko serious, Mkude alicheza kama substitute mechi ya mwadui ila bado hajarudi vizuri kwenye fitness yake. Ukisema best in the country mbona National Team hayupo? kuna factors nyingi yeye mwenyewe akijitafiti na kutafuta mafanikio hayo atapata. COACHES na uongozi wakati mwingine wanaishiwa jinsi, anatakiwa kujiongeza ku wa prove wrong if at all wana muonea. Wachezaji wana mabo mengi.

Mpaka sasa Mkude amewaprove wrong, wanapiga mipira ya juu kwenda mbele hawachezi katikati (passing football), na hiyo sio pattern ya Simba ya kubutua mbele ili Okwi na Boko wakimbize.

Sababu ya kupiga mpira moja kwa moja mbele ni kutokuwa na 'a gifted' midfielder the like of Mkude.
 
Back
Top Bottom