Kocha wa Simba simwelewi

Kocha wa Simba simwelewi

Sasa anaposema kwamba lazima ucheze dakika 90 na siyo 45 anataka kumtupia nani zigo la lawama? Yeye mwenyewe anasema kwamba wachezaji wake hawana uchovu kwa nini sasa hao wachezaji wanacheza kichovu?
 
Wachezaji pia wanatakiwa kuwa serious na Mechi,

Tunapoelekea Kutwaa Ubingwa inatakiwa kuweka bidii mchezoni,pamoja na malengo.

Kila anayetokea ni kuchezea Kichapo,

Sasa hii mambo ya Kufungwa na kagera ishakuwa mazoea.
 
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.

Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.

Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.

Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.

Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Sasa huwa wanashindaje? Au ndio mambo ya M pesa! Ukimsikiliza yule lopolopo wao utadhani simba ni kama Man City!
 
Ila Colibay sio wa kiwango cha kimataifa.
Anapindiuwa kama Boga vile na washambuliaji.
Kwa kukaba ni kweli hawezi .
Inaonekana ana tatizo là umri, ni bora aanze Gyan.
Kocha naye Ni mzito wa kufanya sabu kwa haraka.
Tokea dakika ya kwanza Colibay mpira ulimkataa
 
Kwa kukusaidia kocha huyu mkataba ukiisha ndio basi
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.

Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.

Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.

Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.

Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
 
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.

Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.

Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.

Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.

Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Wachezaji ndio uwezo wao umeishia hapo. Unahitajika msasa wa kila mtu.
 
Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.

Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!
Kwenye kumfukuza Aussems Sikuungi mkono mkuu....Kwangu mimi Coach Aussems is one of the best coaches wa muda wote kwa klabu ya Simba kwani ameleta mageuzi makubwa sana ndani ya klabu...kwenye suala la Udhaifu kwenye baadhi ya maeneo katika kikosi ni suala la muda tu na linaweza kurekebishika ila Falsafa ya Aussems inanipa matumaini ya Simba Kuwa moja kati ya Klabu kubwa barani Afrika miaka ijayo.
 
Back
Top Bottom