Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Tuendelee kucheka na Nyani mwisho wa siku tutavuna mabua!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungwa ni kufungwa tu lakini sababu za kufungwa hutofautiana.Sikumbuki mechi ambayo Simba aliifumga Kagera
Nasema hivi mechi zote nilizo angalia Simba anafungwa na KageraKufungwa ni kufungwa tu lakini sababu za kufungwa hutofautiana.
Kawe au Bunju?Mikia bana
Kawe kocha wewe
Msumari wa utosi huu!Zile siku kumi za kujiandaa na mechi moja umezisahau?
Tatizo watanzania tumezoea kufanya ushabiki maandazi kwenye kila jambo.Msumari wa utosi huu!
Zimebaki siku 40 msimu umalizike ulitaka wacheze vp. Wakati mnaambiwa chezeni na ligi ooh tunajiandaa na CAF Champions LeagueMechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania
Sasa huwa wanashindaje? Au ndio mambo ya M pesa! Ukimsikiliza yule lopolopo wao utadhani simba ni kama Man City!Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Tulieni dawa iwaingieMechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania
Ni kaitabaKawe au Bunju?
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Hii mechi ndio siku mkataba wake uliisha ,aliwaudhi sana watuSizungumzii tu mechi ya leo bali ni mwendelezo wa kitu anachotaka Kocha kukipandikiza ndani ya Simba. Simba hawapigi mashuti.
Na TP Mazembe Bocco aliwekwa ushambuliaji peke yake kama yatima.
Wachezaji ndio uwezo wao umeishia hapo. Unahitajika msasa wa kila mtu.Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Kwenye kumfukuza Aussems Sikuungi mkono mkuu....Kwangu mimi Coach Aussems is one of the best coaches wa muda wote kwa klabu ya Simba kwani ameleta mageuzi makubwa sana ndani ya klabu...kwenye suala la Udhaifu kwenye baadhi ya maeneo katika kikosi ni suala la muda tu na linaweza kurekebishika ila Falsafa ya Aussems inanipa matumaini ya Simba Kuwa moja kati ya Klabu kubwa barani Afrika miaka ijayo.Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.
Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!