chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Hao wachezaji niliyowataja ndiyo chanzo cha simba kufungwa na kagera hata hiyo mechi ya alliance kama wataendelea na umbwiga niliousema simba atachapwa tenaKama hili lilitokea unamlaumuje kocha kwa mfano
Hiyo ni formula mpya katika soccerPaul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Fomula mpya ni lazima iendane na aina ya wacheza uliyo nayo, huo ndiyo Ukocha!!Hiyo ni formula mpya katika soccer
Uwezo wa wachezaji umeishia hapo,mnataka simba icheze kama ajax ??.Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.
Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!
Uwezo wa wachezaji umeishia hapo,mnataka simba icheze kama ajax ??.Timu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.
Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!
Tate Mkuu ukitaka kujua tatizo si wachezaji bali ni mfumo wa uchezaji unaopendwa na kocha. angalia wanavyocheza sasa. Kila wakati utaona kipindi cha kwanza ni kama anajaribu aina fulani ya uchezaji isiyoeleweka kwa wachezaji wa Simba.
Cha kushangaza, mtu kama Bukaba, fatigue inatoka wapi wakati alikuwa hapangwi sana kwenye CCL?, Mlipili yuko wapi? hivi Coach anashindwa kucheza na combination itakayoruhusu Mlipili, Bukaba na Gyan kuziba nafasi ya Coulybali? huyo Coulybali kwa sasa ni hatarishi. Timu pinzani kuna kitu simple wamemsoma ndiyo wanatumia. Hata Mazembe, nahisi hilo ndiyo jambo kubwa walilolisoma namna ya kuimaliza SIMBA. Hakuna zaidi, walimtumia Ochaya kupiga mipira ya juu mirefu, kulibali hawezi kukimbia, tukafungwa.
Kila kifo kina sababu tulivyofungwa na Mazembe pia lazima kuwe na sababu ila haimaanishi kama siku ile asingecheza Coulibaly Simba asingefungwa halafu hapo unaongelea Bukaba na wote tunamjua namna yake ya uchezaji au mnataka ampange mrudishe tena lawama kwake lawama mnazotoa ni nyingi kana kwamba simba ilikuwa na kikosi bora cha kubeba CCL ila uchebe katuangusha au Simba ilitakiwa ishinde mechi zote TPL ila uchebe ndio chanzo kufungwa mechi hizo mbili wakati tunaona timu zote duniani zinafungwa kama kawaida japo zinabeba ubingwa simba yetu hii ina wachezaji gani wa ajabu hata ikifungwa kamechi kamoja tu mtu ufungue uzi wa kumlaumu kocha as if ulikuwa unamsubiri afungweCha kushangaza, mtu kama Bukaba, fatigue inatoka wapi wakati alikuwa hapangwi sana kwenye CCL?, Mlipili yuko wapi? hivi Coach anashindwa kucheza na combination itakayoruhusu Mlipili, Bukaba na Gyan kuziba nafasi ya Coulybali? huyo Coulybali kwa sasa ni hatarishi. Timu pinzani kuna kitu simple wamemsoma ndiyo wanatumia. Hata Mazembe, nahisi hilo ndiyo jambo kubwa walilolisoma namna ya kuimaliza SIMBA. Hakuna zaidi, walimtumia Ochaya kupiga mipira ya juu mirefu, kulibali hawezi kukimbia, tukafungwa.