Cha kushangaza, mtu kama Bukaba, fatigue inatoka wapi wakati alikuwa hapangwi sana kwenye CCL?, Mlipili yuko wapi? hivi Coach anashindwa kucheza na combination itakayoruhusu Mlipili, Bukaba na Gyan kuziba nafasi ya Coulybali? huyo Coulybali kwa sasa ni hatarishi. Timu pinzani kuna kitu simple wamemsoma ndiyo wanatumia. Hata Mazembe, nahisi hilo ndiyo jambo kubwa walilolisoma namna ya kuimaliza SIMBA. Hakuna zaidi, walimtumia Ochaya kupiga mipira ya juu mirefu, kulibali hawezi kukimbia, tukafungwa.