barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mi nilidhani lubumbashi na cairo ndio tatizo kumbe hata kanda ya ziwa.Naona timu inacheza vile vile isipokuwa inacheza kwa bidii ikiwa Dar es salaam!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilidhani lubumbashi na cairo ndio tatizo kumbe hata kanda ya ziwa.Naona timu inacheza vile vile isipokuwa inacheza kwa bidii ikiwa Dar es salaam!!
Hahahaha, hili nalo nenoWachezaji ndio uwezo wao umeishia hapo. U ahitajima msasa wa kila mtu.
Hata choko huanza kiutani utani mwsho huzowea!Wachezaji pia wanatakiwa kuwa serious na Mechi,
Tunapoelekea Kutwaa Ubingwa inatakiwa kuweka bidii mchezoni,pamoja na malengo.
Kila anayetokea ni kuchezea Kichapo,
Sasa hii mambo ya Kufungwa na kagera ishakuwa mazoea.
Mliyataka wenyeweMechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania
Ndio tatizo la mgeni naye kuchangia mawazo kwenye mjadala wa familia fulani, ambayo haimuhusu!Haya ndio matatizo ya kuja na matokeo yenu mfukoni.
Wiki mbili bila kucheza mechi hata moja ya ligi na hakuna mechi za Mataifa!! Only in Tanzania.Mechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania
Wiki mbili bila kucheza mechi hata moja ya ligi na hakuna mechi za Mataifa!! Only in Tanzania.
Sasa kwani kitambi katimuliwa? Wabongo wengi tunajifanya wajuaji yaani timu isifungwe tayari lawama kocha hafai ndio maana makocha hawahawa wakienda maeneo mengne afrika wanafanya vizuri tu.Huwezi shinda mechi zote then unasema hata timu ikishinda ni juhudi tu za wachezaji sasa ikifungwa kwanini usizungumzie uzembe wa wachezaji unamnanga kocha utadhani Simba ndio klabu pekee afrika kufungwaNo. Mimi tangu mwanzo sikumkubali Uchebe na nilipata ahueni pale Kitambi alipokuja.
Tatizo liko kwa wachezaji, Uwezo wao umeishia hapo. Tunahitaji wachezaji wa kiwango cha matokeo tunayohitaji.Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba wamekuwa na pasi fupi fupi zisizokuwa na malengo na mabeki hurudi nyuma badala ya kukaba wanaposhambuliwa.
Wachezaji wa simba wamekuwa hawakimbii na hakuna upigaji wa Mashuti nje ya mita 18 toka eneo la adui. Yaani Simba sasa inacheza bora liende na bidii binafsi za wachezaji na bahari ya kimpira.
Kila nikiiangalia Simba naona kabisa tatizo liko kwa kocha na mfumo wake wa uchezaji.
Kwa mechi ya leo kocha hasilaumiwe wachezaji wetu wakubwa tena tegemeo la timu wanautoto mwingi jiulize chama amepata nafasi ngapi za kupasia wenzake ili wafunge hatoi huo mpira anataka kufunga yeye unaweza dhani amebet ili simba afungwe.
Njoo kwa couribly ndiyo takataka kabisa dk za mwisho zile hataki kutoa pasi kwa kagere anataka kufunga mwenyewe.
Bocco na okwi wote hawa kila mtu anataka kufunga badala ya kumpasia aliyepo nafasi nzur wao wanapiga bora mpira uende
Mkuu simba mpaka hapo simba ilipofika ni juhudi za wachezaji binafsi kwa kiasi kikubwa. Kazi anayoifanya uchebe matola anaweza kuifanya kwa ufanisi zaidi. Ukitaka kugundua hilo angalia game plan yake, hana mbinu mbadala kabisa na anaamini katika mazoea. Anashindwa kabisa kuwapa nafasi kina salamba, rashid juma, mzamiru, kurefresh kikosi. Simba haina pace kwenye flanks unashindwa vipi kumtumia gyan na rashidi juma. Okwi umri umempa mkono , chama kwangu ni mchezaji wa kawaida hana discpline na mpira. Na ukiangalia kwa ukaribu utaona viungo wa simba wana makosa yale yale, yaani hakuna demand kocha anataka nini kutoka kwao sawa na mabeki wetu, ball watching defendersTimu ina wenyewe lakini kama shabiki wa Simba ni lazima kocha abadili aina ya upangaji timu na uchezaji ama yeye mwenyewe abadilishwe.
Safu ya Ulinzi ya Simba inacheza ovyo kabisa!
Falsafa ipi mkuu? Hivi toka uchebe aje kuna falsafa ambayo inaweza ikaielezea simba? Unaikumbuka simba ya pierre lechantre? kupata tathmin nzuri ,Tafuta mechi 3 za simba chini ya mfaransa yule na chukua tano za uchebeKwenye kumfukuza Aussems Sikuungi mkono mkuu....Kwangu mimi Coach Aussems is one of the best coaches wa muda wote kwa klabu ya Simba kwani ameleta mageuzi makubwa sana ndani ya klabu...kwenye suala la Udhaifu kwenye baadhi ya maeneo katika kikosi ni suala la muda tu na linaweza kurekebishika ila Falsafa ya Aussems inanipa matumaini ya Simba Kuwa moja kati ya Klabu kubwa barani Afrika miaka ijayo.
Tumrudishe Pierre Lechantre?Falsafa ipi mkuu? Hivi toka uchebe aje kuna falsafa ambayo inaweza ikaielezea simba? Unaikumbuka simba ya pierre lechantre? kupata tathmin nzuri ,Tafuta mechi 3 za simba chini ya mfaransa yule na chukua tano za uchebe
Nadhani alikuwa anafanya ulinganisho na Uchebe.Tumrudishe Pierre Lechantre?
Kukaa siku saba hadi nane baada ya mechi ya CAF Champions league only in Tanzania.Mechi 7 siku 15!!! Only in Tanzania