Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi!
Kocha mkuu waTaifa stars afungishwa virago baada ya kufungwa goli tatu na uganda!

Ni wazi Timu ya taifa nayo ni ya kuvunja kufukuza kocha haliwezi kuwa suluhu.
Pia kamati ya utendaji imelivunja benchi la ufundi hadi hapo litakapo tangazwa upya
 

Attachments

  • 1434831018589.jpg
    28.9 KB · Views: 1,357
Usimchekemwenzio.anafamilia inamtegemea ..kesho yako leo yake...mbeleyake.nyuma yako mpwa..kwenye ajora sitoshabikia.mtu akifukuzwa kumbuka familiangap zinamtegemea bahatimbaya akalemalimao na yeye
 
Bora hile timu iliyo kaa kambi kule mbeya..

Kinachonifanya nimchukie malinzi ni kuwa huyu kocha hakuna lolote la maana alilofanya lkn tumedumu naye muda wote huo...alipaswa kufukuzwa mapema
 
Usimchekemwenzio.anafamilia inamtegemea ..kesho yako leo yake...mbeleyake.nyuma yako mpwa..kwenye ajora sitoshabikia.mtu akifukuzwa kumbuka familiangap zinamtegemea bahatimbaya akalemalimao na yeye

Na hata sisi tunafamilia tumeshindwa kuzitimizia mahitaji sababu ya stress alizotusababishia huyu kocha...
 
From TFF..
 

Attachments

  • 1434831691271.jpg
    26.6 KB · Views: 2,635
"......Sio tu kwamba walikuwa hawawezi kukalia kiti cha Leodeger Tenga, lakini pia hawakustaili hata kuwa wakata majani wa bustani ya nyumba yake.........."- Edo Kumwembe

Bado Jamal Malinzi na timu yake
 
Mkuu Jamali Malinzi ukichukua hatua kama ya aliyekuwa boss wako Blatter utaonesha kuwa kumbe nawe ni mtu muungwana na makini. Kuwaachia wengine waendeleze pale ulipo shindwa si ujinga mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Habari wanaBodi


Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Noij atimuliwa kazi.


Chanzo : Blogspots
 
Na aondokeeeee hatakuwa tunamtaka...hata jamali naye atembee hatumtaki
 
Dah aiseee wacha aende bhnaa akuna alichofanya kwenye timu yetu zaidi hayo tulio yapata..
 
Aondoke bado malinzi nayeye aondoke akuna alichofanya cha maana
 
Mkuu Jamali Malinzi ukichukua hatua kama ya aliyekuwa boss wako Blatter utaonesha kuwa kumbe nawe ni mtu muungwana na makini. Kuwaachia wengine waendeleze pale ulipo shindwa si ujinga mkuu!
Nakuunga mkono Mkuu.
Malinzi sauti ya wengi ni ya Mungu, njoo huku uisikie sauti ya Mungu
 
Last edited by a moderator:
Hata aje Mourinho kwa timu yetu ya taifa hatoboi, mfumo unaotumika kuipata team ya taifa ni mbovu, haiwezekani kocha anachaguliwa wachezaji halafu mfumo anatumia wa kwake, kuna wachezaji wengine hawamfai kwa mfumo wake.

Na ndiyo maana Maximo alifanya vizuri kwa kipindi chake make yeye hakuendekeza ujinga huo.

Maximo pia ilifikia kipindi akaingilia mpaka rishe za wachezaji, jambo hilo na mengi ambayo Maximo alikuwa anajaribu kuya ingiza ktk mfumo wa timu yetu yalikuwa yenye tija kubwa.

Ila waswahili baada ya kuona uswahili wao hauna nafasi mbele ya Maximo ikabidi wamfukuze.

Ukiona vyaelea ujue vimeundwa, hatuwezi kutoboa kwa mwendo wa kuungaunga. Soka lina misingi yake bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…