Kocha wa Taifa Stars ametumia vigezo gani kumuacha Kampombe, Zimbwe, Mzize na Sure Boy na kuita kikosini wakalia benchi?

Mpira wa bongo ni siasa yaani kila sehemu ni siasa nina imani hcho kikosi hajaita kocha kuna kikundi cha watu tu wameamua kuandika majina na kuwasilisha kwa wahusika lengo Lao kubwa wamchomeshe kocha ili afukuzwe watu waendelee kupiga hela kocha kaingizwa King na kaingia 18 za wahuni halijui soka la bongo masikini kocha wa watu hivi feisal kocha kamuona mechi gani.
 
Tumewazoea hawa makocha eti asiulizwe au kuingiliwa anapofanya hadi aharibu ni yy ataumia kuliko mtz mwenyewe tunapofungwa
 
Miaka yote hao kina kapombe wako wamekuwa wakiitwa ni mabadiliko gani uwa yapo kwa uwepo wao timu ya taifa? Ni lazima kuanza kuandaa vijana wengine wa kuchukua nafasi zao kwa kuwa na umri unawatupa mkono, unaonaga wakikimbizwa kidogo tu ulimi nje ni umri kocha kaona mbali acha wapumzike watunze energy yao ambayo inapungua kila kukicha kutokana na umri
 
Hata mimi Kwa Feisal nimeshindwa kuelewa
 
Tumewazoea hawa makocha eti asiulizwe au kuingiliwa anapofanya hadi aharibu ni yy ataumia kuliko mtz mwenyewe tunapofungwa
Wanakuja kufanya majaribio ya ukocha wao kwenye timu yetu ya Taifa. Timu ya Taifa inakuwa km klabu kocha hamalizi miaka 2 kaja mwingine
 
Sasa hao wazee si wapo tu miaka nenda rudi timu ya taifa na hakuna cha maana, kwanini asiite wengine? au hiyo timu ya taifa ni mali yao halali? Acha na wengine wacheze waonekane huenda wakafungua njia iliyo shindwa kufunguliwa na hawa wazee kina Boko, Kapombe, na huyo Mwamedi Hussein
 
Clement Mzize naye ni mzee??
 
tuache ujuaji wa kila jambo
kocha wa timu ya taifa halaziki kuwaita wachezaji kwa maoni ya amshabiki wao. ulitaka awaite woote unaowataka wewe
 
tuache ujuaji wa kila jambo
kocha wa timu ya taifa halaziki kuwaita wachezaji kwa maoni ya amshabiki wao. ulitaka awaite woote unaowataka wewe
Umesoma heading au umesoma content?? Umeelewa kilichandikwa??

Sometime ficha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…