Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Tulieni..tumeita wanaocheza ulaya ligi za mbuzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, nilimfundishaDuh! Ulipiga nae school?? 😐😐😐
Tumewazoea hawa makocha eti asiulizwe au kuingiliwa anapofanya hadi aharibu ni yy ataumia kuliko mtz mwenyewe tunapofungwaSalaam,
Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini kuna baadhi ya wachezaji hawana timu mpaka sasa mfano Feisal Salum, unamwitaje kwenye timu wakati hajacheza mechi za mashindano kwa muda mrefu? Tunaheshimu uwezo wa Feisal but anahitaji match fitness. Sure Boy alikuwa perfect choice.
Baka na Kibwana kwenye timu zao sio wachezaji regular wanapambania namba Ili wawe wanaanza imekuwaje wanaonza kwe timu zao wameachwa na ila wanaotafuta namba wameitwa?? No way sioni sababu ya Kapombe na Mohamed Hussein kuachwa. (Sijazugumzia wachezaji wa timu za daraja la kati ambao Kwa Sasa hatukupaswa kuwafanyia majaribio hapa ni kufuzu).
Nimesikitishwa zaidi na kocha kumuacha kijana tunaetegemea aje kuwa hazina ya Taifa hili hapo baadae Clement Mzize kijana ambae anahitaji exposure kama hizi ili aanze kujenga confidence katika michuano ya kimataifa katika level ya timu ya Taifa. Unfortunately kocha wetu sijui ametumia kigezo gani kumuacha (Takwimu zake so far zinaongea vizuri). Japo Mzize huwa anatokea benchi ila mpira ni mchezo wa wazi kijana ana potential sana kwa ma-striker vijana wa kitanzania kwa sasa sijaona kama Clement Mzize.
Personally nimeshindwa kumuelewa kocha. aombe Mungu apate matokeo mazuri kwenye hizo mechi vinginevyo atalijua joto la mpira wa Bongo lilivyo.
Anahitaji kutu-prove wrong otherwise atapishana mlangoni na hao aiowaacha
Mungu ibariki Tanzania.
Miaka yote hao kina kapombe wako wamekuwa wakiitwa ni mabadiliko gani uwa yapo kwa uwepo wao timu ya taifa? Ni lazima kuanza kuandaa vijana wengine wa kuchukua nafasi zao kwa kuwa na umri unawatupa mkono, unaonaga wakikimbizwa kidogo tu ulimi nje ni umri kocha kaona mbali acha wapumzike watunze energy yao ambayo inapungua kila kukicha kutokana na umriSalaam,
Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini kuna baadhi ya wachezaji hawana timu mpaka sasa mfano Feisal Salum, unamwitaje kwenye timu wakati hajacheza mechi za mashindano kwa muda mrefu? Tunaheshimu uwezo wa Feisal but anahitaji match fitness. Sure Boy alikuwa perfect choice.
Baka na Kibwana kwenye timu zao sio wachezaji regular wanapambania namba Ili wawe wanaanza imekuwaje wanaonza kwe timu zao wameachwa na ila wanaotafuta namba wameitwa?? No way sioni sababu ya Kapombe na Mohamed Hussein kuachwa. (Sijazugumzia wachezaji wa timu za daraja la kati ambao Kwa Sasa hatukupaswa kuwafanyia majaribio hapa ni kufuzu).
Nimesikitishwa zaidi na kocha kumuacha kijana tunaetegemea aje kuwa hazina ya Taifa hili hapo baadae Clement Mzize kijana ambae anahitaji exposure kama hizi ili aanze kujenga confidence katika michuano ya kimataifa katika level ya timu ya Taifa. Unfortunately kocha wetu sijui ametumia kigezo gani kumuacha (Takwimu zake so far zinaongea vizuri). Japo Mzize huwa anatokea benchi ila mpira ni mchezo wa wazi kijana ana potential sana kwa ma-striker vijana wa kitanzania kwa sasa sijaona kama Clement Mzize.
Personally nimeshindwa kumuelewa kocha. aombe Mungu apate matokeo mazuri kwenye hizo mechi vinginevyo atalijua joto la mpira wa Bongo lilivyo.
Anahitaji kutu-prove wrong otherwise atapishana mlangoni na hao aiowaacha
Mungu ibariki Tanzania.
Hata mimi Kwa Feisal nimeshindwa kuelewaMpira wa bongo ni siasa yaani kila sehemu ni siasa nina imani hcho kikosi hajaita kocha kuna kikundi cha watu tu wameamua kuandika majina na kuwasilisha kwa wahusika lengo Lao kubwa wamchomeshe kocha ili afukuzwe watu waendelee kupiga hela kocha kaingizwa King na kaingia 18 za wahuni halijui soka la bongo masikini kocha wa watu hivi feisal kocha kamuona mechi gani.
Wanakuja kufanya majaribio ya ukocha wao kwenye timu yetu ya Taifa. Timu ya Taifa inakuwa km klabu kocha hamalizi miaka 2 kaja mwingineTumewazoea hawa makocha eti asiulizwe au kuingiliwa anapofanya hadi aharibu ni yy ataumia kuliko mtz mwenyewe tunapofungwa
Haitoshi.Wawe wanarudisha nusu ya gharama zilizotumika pamoja na nusu mshahara wao na viboko juu.Serious!Akishindwa tutamfungashia virago
Clement Mzize naye ni mzee??Sasa hao wazee si wapo tu miaka nenda rudi timu ya taifa na hakuna cha maana, kwanini asiite wengine? au hiyo timu ya taifa ni mali yao halali? Acha na wengine wacheze waonekane huenda wakafungua njia iliyo shindwa kufunguliwa na hawa wazee kina Boko, Kapombe, na huyo Mwamedi Hussein
tuache ujuaji wa kila jamboSalaam,
Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini kuna baadhi ya wachezaji hawana timu mpaka sasa mfano Feisal Salum, unamwitaje kwenye timu wakati hajacheza mechi za mashindano kwa muda mrefu? Tunaheshimu uwezo wa Feisal but anahitaji match fitness. Sure Boy alikuwa perfect choice.
Baka na Kibwana kwenye timu zao sio wachezaji regular wanapambania namba Ili wawe wanaanza imekuwaje wanaonza kwe timu zao wameachwa na ila wanaotafuta namba wameitwa?? No way sioni sababu ya Kapombe na Mohamed Hussein kuachwa. (Sijazugumzia wachezaji wa timu za daraja la kati ambao Kwa Sasa hatukupaswa kuwafanyia majaribio hapa ni kufuzu).
Nimesikitishwa zaidi na kocha kumuacha kijana tunaetegemea aje kuwa hazina ya Taifa hili hapo baadae Clement Mzize kijana ambae anahitaji exposure kama hizi ili aanze kujenga confidence katika michuano ya kimataifa katika level ya timu ya Taifa. Unfortunately kocha wetu sijui ametumia kigezo gani kumuacha (Takwimu zake so far zinaongea vizuri). Japo Mzize huwa anatokea benchi ila mpira ni mchezo wa wazi kijana ana potential sana kwa ma-striker vijana wa kitanzania kwa sasa sijaona kama Clement Mzize.
Personally nimeshindwa kumuelewa kocha. aombe Mungu apate matokeo mazuri kwenye hizo mechi vinginevyo atalijua joto la mpira wa Bongo lilivyo.
Anahitaji kutu-prove wrong otherwise atapishana mlangoni na hao aiowaacha
Mungu ibariki Tanzania.
Umesoma heading au umesoma content?? Umeelewa kilichandikwa??tuache ujuaji wa kila jambo
kocha wa timu ya taifa halaziki kuwaita wachezaji kwa maoni ya amshabiki wao. ulitaka awaite woote unaowataka wewe