Kocha wa Taifa Stars Amunike ameidhalilisha sana Simba SC katika Uteuzi wake hivyo siishangilii tena Taifa Stars hadi akiondoka / akifukuzwa

Mbona huu mwandiko kama wa mange kimambi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshaniharibia kabisa Siku yangu!

Kwahiyo wewe timu ya taifa ya Tanzania ni Simba au siyo? Hili ndilo miaka yote limeshindwa kutufikisha popote sababu ya kuzingatia maslahi ya ushabiki wa kijinga. Nampongeza sanakocha huyu, ambaye anaujua mpira miaka mingi na ana uzoefu wa kuchezea vilabu vikubwa sana duniani. Masuala ya usimba na uyanga ndiyo yametufikisha hapa hatuna maendeleo kila siku kupiga maneno na ujinga kama huu. Hujalazimishwa kuishangilia acha walio na upeo mzuri wataishangilia. Wewe shangilia taifa star yako ya simba
 
GENTAMYCINE
Usiumize kichwa bure khs huyu kocha fala kwa bifu lake kwa Simba.

Kama utakumbuka, kikosi chake cha kwanza tu aliwatimua wachezaji wa Simba kwa sababu zisizo na mashiko.

Timu ilipovurunda ndio akawarudisha.
Achana nae....mwisho wake na hao wanaombeba hauko mbali.
 
watanzania buana, basi fanyeni nyie ndo muwe makocha halafu tuone hiyo team ndo itafika mbali ama lah.maana si kwa kukosoa hivyo.

Tukumbuke mpira ni mbinu si vinginevyo..mmesahau juzi ole sendeka alivyotumia mbinu kuipiga PSG?

Jifunzeni kuvumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Unaomba tufungwe???!! ...Nasikia yule anayeitwa Guaido huko Venezuela amehujumu mfumo wa umeme huko kwao na karibu nchi nzima ipo gizani...tehtehtehteh
 
Wewe mrundi team ya Tanzania inakuhusu nini?
 
Kwa hiyo Simba ni ya kimataifa.
 
Zimbwe Jr kamkosea nn amunike? Kiukweli kabisa wengine aina shida nazo

Hakuna Kocha hapo Mkuu. Yaani Mimi Simpendi kabisa huyu Kocha ana Ubaguzi na Chuki za waziwazi kwa Wachezaji wa Simba SC na nadhani hatujui wana Simba SC tulivyo na sasa tutamfundisha Adabu na Tanzania hii ataiona Chungu hakyanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…