Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huu mwandiko kama wa mange kimambi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwezi ukaita Wachezaji Watatu ( 3 ) wa Simba SC halafu ukawaita Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC. Kuanzia leo namchukia rasmi huyu Kocha na naomba Mungu tufungwe mechi zote kuanzia sasa. Na huwa nikimchukia Mtu huwa namchukia kweli. Nilikuwa namvumilia sana huyu Kocha na Mbichwa wake mkubwa pamoja na Pua lake ila naona kwa alichokifanya leo ni ' dhihaka ' kubwa kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC.
Kwahiyo ndani ya Simba SC amewaona Wachezaji Watatu tu Kipa Aishi Manula, Kiungo Mdogo wangu Kipenzi Jonas Gerald Mkude a.k.a Xavi Hernandez wa Tanzania na John Raphael Boko tu pekee? Ina maana Mohammed Hussein Zimbwe Jr ' Tshabalala ' hakumuona? Ina maana Kiungo ' Fundi ' kabisa Hassan Dilunga hakumuona? Ina maana Beki mwenye Roho Mbaya Paul Bukaba hakumuona?
Kuanzia le siishangilii tena Taifa Stars na naomba ifungwe kila mechi itakazocheza hasa inayoanza hii na Uganda Cranes wiki chache tu zijazo. Kama Kocha huyu mwenye Chuki za wazi wazi na Simba SC na mwenye Mahaba mazito na Yanga SC akiondoka au akifukuzwa nitarejea Kuishangilia ila siyo kwa sasa. Kocha ' Mnafiki ' sana huyu na niwaambieni mapema tu TFF kwamba huyu Kocha Emanuel Amunike hatufai kabisa na mfukuzeni mapema kabla hatujamfukuza kwa ' Bakora ' pale Kwa Mchina ( Mama yangu Samahani ) pale Kwa Mkapa kama tulivyohimizwa tuuite.
Popote pale duniani Timu ya Taifa yoyote ile huwa inajazwa Kwanza na Wachezaji ama wa Timu iliyokuwa Bingwa katika Ligi husika ya hiyo nchi au inashiriki Michuano ya Kimataifa sasa huyu Bichwa Kubwa, Mimacho Kutumbua wenu na Pua Andazi Amunike ameita hao Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC kwa ' Vigezo ' gani? Yanga SC ndiyo Bingwa Mtetezi wa VPL ( sasa TPL ) hii inayoendelea? Yanga SC inashiriki Michuano ya Kimataifa kwa sasa?
Ameshaniharibia kabisa Siku yangu!
Nawasilisha.
Huwezi ukaita Wachezaji Watatu ( 3 ) wa Simba SC halafu ukawaita Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC. Kuanzia leo namchukia rasmi huyu Kocha na naomba Mungu tufungwe mechi zote kuanzia sasa. Na huwa nikimchukia Mtu huwa namchukia kweli. Nilikuwa namvumilia sana huyu Kocha na Mbichwa wake mkubwa pamoja na Pua lake ila naona kwa alichokifanya leo ni ' dhihaka ' kubwa kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC.
Kwahiyo ndani ya Simba SC amewaona Wachezaji Watatu tu Kipa Aishi Manula, Kiungo Mdogo wangu Kipenzi Jonas Gerald Mkude a.k.a Xavi Hernandez wa Tanzania na John Raphael Boko tu pekee? Ina maana Mohammed Hussein Zimbwe Jr ' Tshabalala ' hakumuona? Ina maana Kiungo ' Fundi ' kabisa Hassan Dilunga hakumuona? Ina maana Beki mwenye Roho Mbaya Paul Bukaba hakumuona?
Kuanzia le siishangilii tena Taifa Stars na naomba ifungwe kila mechi itakazocheza hasa inayoanza hii na Uganda Cranes wiki chache tu zijazo. Kama Kocha huyu mwenye Chuki za wazi wazi na Simba SC na mwenye Mahaba mazito na Yanga SC akiondoka au akifukuzwa nitarejea Kuishangilia ila siyo kwa sasa. Kocha ' Mnafiki ' sana huyu na niwaambieni mapema tu TFF kwamba huyu Kocha Emanuel Amunike hatufai kabisa na mfukuzeni mapema kabla hatujamfukuza kwa ' Bakora ' pale Kwa Mchina ( Mama yangu Samahani ) pale Kwa Mkapa kama tulivyohimizwa tuuite.
Popote pale duniani Timu ya Taifa yoyote ile huwa inajazwa Kwanza na Wachezaji ama wa Timu iliyokuwa Bingwa katika Ligi husika ya hiyo nchi au inashiriki Michuano ya Kimataifa sasa huyu Bichwa Kubwa, Mimacho Kutumbua wenu na Pua Andazi Amunike ameita hao Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC kwa ' Vigezo ' gani? Yanga SC ndiyo Bingwa Mtetezi wa VPL ( sasa TPL ) hii inayoendelea? Yanga SC inashiriki Michuano ya Kimataifa kwa sasa?
Ameshaniharibia kabisa Siku yangu!
Nawasilisha.
Wewe mrundi team ya Tanzania inakuhusu nini?Huwezi ukaita Wachezaji Watatu ( 3 ) wa Simba SC halafu ukawaita Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC. Kuanzia leo namchukia rasmi huyu Kocha na naomba Mungu tufungwe mechi zote kuanzia sasa. Na huwa nikimchukia Mtu huwa namchukia kweli. Nilikuwa namvumilia sana huyu Kocha na Mbichwa wake mkubwa pamoja na Pua lake ila naona kwa alichokifanya leo ni ' dhihaka ' kubwa kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC.
Kwahiyo ndani ya Simba SC amewaona Wachezaji Watatu tu Kipa Aishi Manula, Kiungo Mdogo wangu Kipenzi Jonas Gerald Mkude a.k.a Xavi Hernandez wa Tanzania na John Raphael Boko tu pekee? Ina maana Mohammed Hussein Zimbwe Jr ' Tshabalala ' hakumuona? Ina maana Kiungo ' Fundi ' kabisa Hassan Dilunga hakumuona? Ina maana Beki mwenye Roho Mbaya Paul Bukaba hakumuona?
Kuanzia le siishangilii tena Taifa Stars na naomba ifungwe kila mechi itakazocheza hasa inayoanza hii na Uganda Cranes wiki chache tu zijazo. Kama Kocha huyu mwenye Chuki za wazi wazi na Simba SC na mwenye Mahaba mazito na Yanga SC akiondoka au akifukuzwa nitarejea Kuishangilia ila siyo kwa sasa. Kocha ' Mnafiki ' sana huyu na niwaambieni mapema tu TFF kwamba huyu Kocha Emanuel Amunike hatufai kabisa na mfukuzeni mapema kabla hatujamfukuza kwa ' Bakora ' pale Kwa Mchina ( Mama yangu Samahani ) pale Kwa Mkapa kama tulivyohimizwa tuuite.
Popote pale duniani Timu ya Taifa yoyote ile huwa inajazwa Kwanza na Wachezaji ama wa Timu iliyokuwa Bingwa katika Ligi husika ya hiyo nchi au inashiriki Michuano ya Kimataifa sasa huyu Bichwa Kubwa, Mimacho Kutumbua wenu na Pua Andazi Amunike ameita hao Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC kwa ' Vigezo ' gani? Yanga SC ndiyo Bingwa Mtetezi wa VPL ( sasa TPL ) hii inayoendelea? Yanga SC inashiriki Michuano ya Kimataifa kwa sasa?
Ameshaniharibia kabisa Siku yangu!
Nawasilisha.
Kina Dilunga anawaachaje?Hivi Erasto Nyoni unamwacha unampanga Adrew vicent , Gadiel hamna kitu angemwacha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukae kimya tusubiri uganda watupige tena hapa hapa kwetu.Kina Dilunga anawaachaje?Hivi Erasto Nyoni unamwacha unampanga Adrew vicent , Gadiel hamna kitu angemwacha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilikuwa ni golden chance.Hataki tufuzu
Unamuacha mwenye uzoefu wa kimataifa unamweka gadiel michael.Zimbwe Jr kamkosea nn amunike? Kiukweli kabisa wengine aina shida nazo
Tff bora wangemrudisha MAXMO Timu ya taifa ilikua na moral kubwa.
Kwa hiyo Simba ni ya kimataifa.Genta acha ushabiki maandazi. Kikosi cha kwanza cha Simba kina Watanzania wangapi? Ukweli mchungu ni kuwa Simba ina wachezaji wa Kitanzania watatu tu; Manula, Mkude, na Boko, wengine wote huwa wanabadilishana kwa zamu- M. Hussein, Ndemla, Mzamilu, Kichuya nk.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimbwe Jr kamkosea nn amunike? Kiukweli kabisa wengine aina shida nazo