Kocha wa Taifa Stars Amunike ameidhalilisha sana Simba SC katika Uteuzi wake hivyo siishangilii tena Taifa Stars hadi akiondoka / akifukuzwa

Taratibu JF inaacha kuwa forum ya great thinkers. What a shame!

Its a shame indeed! Watu wanadhani simba au yanga ndo timu ya taifa. No wonder watu wana define utaifa kama kuunga mkono mtu flani. Ujinga mtupu, ndo maana tuko maskini si kwa bahati mbaya
 
Anawaacha wanaocheza game za kimataif na kuchukua wanaocheza game za mwanza. Fala sana

Ninapowaambia kuwa hapo hakuna Kocha muwe mnanielewa. Ukiona Mimi GENTAMYCINE namuwekea wasiwasi Mtu fulani tu jua kuwa 99.9% ana matatizo na hafai. Nadhani Tanzania haijawahi kupata Kocha wa Timu ya Taifa Taifa Stars ' Mpumbavu ' kama huyu. Utamuachaje nje Mohammed Hussein Zimbwe Jr ' Tshabalala, Paul Bukaba na Hassan Dilung HD?
 
Kichuya bado kumbe yupo simba??...i didn't know that
 
Cha msingi mwacheni kocha akatafute matokeo na kikosi alichokiita..afterall kocha hawezi kuita wachezaji wote,anawaita wale tu ambao anaona watamfaa kwenye style yake ya football na gameplan ya mechi husika
 

Nakuunga mkono kabisa kwa hili...siyo sahihi kuwaita wachezaji watatu tu wa Simba ...nadhani angewaita pia Chama, Kagere, Okwi, Coulbaly, Kotei, Kwasi na kaddhalika...kiwango cha wachezaji hawa kiko juu, nashangaa kwanini huyu Amunike hakuwaita...tehtehtehtehh...huyu Amunike sijui yukoje...tehtehtehteh
 
Hakuna Kocha hapo Mkuu. Yaani Mimi Simpendi kabisa huyu Kocha ana Ubaguzi na Chuki za waziwazi kwa Wachezaji wa Simba SC na nadhani hatujui wana Simba SC tulivyo na sasa tutamfundisha Adabu na Tanzania hii ataiona Chungu hakyanani.
Kula ndimu au limao ukishindwa toa hiyo mimba ya Amunike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wanaotamba SSC ni wageni % kubwa . Amunike is right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamuachaje mtu kama Shabalala kwa salsa...au Sure boy anavyoupiga mwingi hapo Azam...Angemuita basi hata Paul Godfrey wa Yanga...Sio Sonso na huyo Gadiel Michael hana shuhuri.
Hamna kocha hapo...kwanza sioni hata attacking midfielder hapo then jamaa anamuacha dilunga ina maana hamuoni au hamjui.
Naona mpango wake ni kwenda kuzuia tena huyu mjamaa.
 
Siwezi kumlaumu Amunike, mchawi wetu ni aliepitisha wachezaji 10 wa kigeni alichofanya Kocha ni kuangalia kwanza proffesional players wetu baada ya hapo akaanza kujazia wazawa!

Mechi za Simba na Vita pamoja na ile ya Alhy wachezaji wazawa hawakuzidi wanne.

Naamini Nyoni na Kapombe wangekuwa fit wangeongeza idadi ya wachezaji wa Simba.
Yote kwa yote wachezaji wetu wa ligi ya ndani wana tofautiana vitu vichache tu.
Imani inaponya mimi naamini tunamfunga mganda hapa Taifa hata kama kwa mbeleko
 
Wewe ni nani hata usienda uwanjani kuona taifa stars maana hakuna anae kutambua endelea na ubaguzi wako wa kijinga wa hali ya juu mpira hauendi hivyo eti mabingwa ,?viwango ndio vinaangaliwa kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wewe Ni wale pingapinga kila kitu...!

Sometimes unakera
 
Kina Dilunga anawaachaje?Hivi Erasto Nyoni unamwacha unampanga Adrew vicent , Gadiel hamna kitu angemwacha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dilunga hajawa mchezajj bhana, na Nyoni katoka majeruhi, hajarecover vzr... Mbona ushabiki.... Hiyo Simba ni wageni sio wazawa, watapewaje nafasi wakati kwenye club hawapewi nafasi????...
Ntajitahidi hivyo hivyo kuwaelewesha najua naongea na Mbumbumbu FC... Ila ni kazi ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishauzwa kwakua shabalala hajaitwa?... Hahahahaaa akili ni nywele
Write your reply...
mechi ishauzwa hiyo kama ile ya lesotho,tusubiri kudra za uganda la sivyo wapenzi wa mpira bongo tufanye shughuli nyingine...

kocha mnaijeria ha ha haaa we can't be serious aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…