Kocha wa Taifa Stars Amunike ameidhalilisha sana Simba SC katika Uteuzi wake hivyo siishangilii tena Taifa Stars hadi akiondoka / akifukuzwa

Na alivyowaridisha kitu gani kipya walikifanya zaidi ya kuambulia vichapo toka kwa Capevede na Lesotho, bora ile timu yake ya kwanza iliweza pata walau droo Ugenini Uganda. Na kwa taarifa yenu, timu hii itafuzu, subiri muda utaongea.
 
Wewe ni nani hata usienda uwanjani kuona taifa stars maana hakuna anae kutambua endelea na ubaguzi wako wa kijinga wa hali ya juu mpira hauendi hivyo eti mabingwa ,?viwango ndio vinaangaliwa kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ". Una Swali jingine tena?
 
Hyo mechi na The cranes Tanzania lazima ifungwe tuu
 
Mawazo mufilisi. Anyway hujalazimishwa kuisupport timu yetu ya taifa, kama vipi rudi kwenu Rwanda ukaipe support timu yenu Amavumbi. Sisi taiga stars ilipo nasi tupooo sana, hata kama wangeteuliwa wachezaji wa Mashujaa fc au Green Warriors, wakishavaa Uzi wenye Bendera yetu pendwa, sisi tuko nao tu, na huo ndiyo uzalendo, hutaki hama taiga ulazimishwi wala ubembelezwivkuipenda timu yetu. Safi sana kocha Amunikee usikubali kupangiwa na watu wasiojielewa watakupoteza.
 
Kocha hafai kabisa yaani anamwita Boko anamwacha Kagere na Chama wanaoibeba Simba kila mechi

Unaweza ukanipa na Mimi hiyo Bange / Bangi uliyoivuta leo au nielekeze tu ulipoinunua Mkuu kwani naona ni nzuri sana.
 
Wewe Genta wewe, yaani kwako Simba ni bora kuliko Taifa Stars! Simba yaweza kuuzwa kwa wawekezaji wasio Watanzania hata kesho, lkn Stars itabaki, hata wakibinafsisha kila kitu.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...
mechi ishauzwa hiyo kama ile ya lesotho,tusubiri kudra za uganda la sivyo wapenzi wa mpira bongo tufanye shughuli nyingine...

kocha mnaijeria ha ha haaa we can't be serious aisee
Nimesikia Uganda wanaleta U 23, kikosi cha kwanza watakuja watatu tu; Juuko, Okwi na mwingine ambaye simkumbuki.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha hafai kabisa yaani anamwita Boko anamwacha Kagere na Chama wanaoibeba Simba kila mechi
Walitaka waitwe kina Zana, Wawa, Chama Gyan, Kotei na wengineo. Wanashindwa kuelewa kuwa Simba bila hao Mapro si lolote si chochote. Imagine timu first Eleven wote ni Mapro isipokuwa hao tu aliowaita kina Manura, Boko na Mkude, hao wengine kama hawatumiki ipasavyo mlitaka kocha awaite tu kwa kusikia kwamba ni wachezaji wazuri wakati hajawahi kuwashuhudia wakicheza uwanjani, acheni hizoo.
 
washabiki wao ni wapumbavu hawawezi kukuelewa wenyewe wanataka wakaa benchi kina Dilunga ndo waitwe ,huu ni ushamba wa hali ya juu
 
We kweli shabiki maandazi
Hebu nitajie first eleven ya Simba itakayocheza leo
 
usimdhihaki mpaka ukapitiliza ndugu, yawezekana akawa sawa na baba yako huyo, tunza heshima hata kwa kiwango kidogo, unaweza kuta kati ya wa4 hao Yanga wote wakala benchi na simba wa 3 wote wakacheza,all in all hata mimi kwa kiasi fulani huwa napata shida kidogo namna huyu kocha anavyounda kikosi,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23],chief

Sent from Nokia 7 Plus
 
Mkuu upo vzr kabisa kabisa,na hapa ulichokifanya "umeweka ushabiki pembeni",safi mkuu.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kocha hafai kabisa yaani anamwita Boko anamwacha Kagere na Chama wanaoibeba Simba kila mechi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],washabiki wa Simba wanataka hawa nao waitwe Stars

Sent from Nokia 7 Plus
 
watu wana mihemko ya ajabu sana.Huyu ntu ni mtaalam kasomea na yeye ana namna yake ya kujua nani atamfaa kwa nuda huu.Mm ni muhuddhuliaji mzuri wa mechi za Simba.Ukiondoa wachezaji wa Simba walioitwa pamoja na wageni kina Kagere,Chama ,Okwi wasipokuwepi hao Simba haina tofauti sana na Ruvu Shooting.Nashauri subirini matokeo ndio tukiwa kama wadau tutamuhukumu kocha au kumpongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…