Na alivyowaridisha kitu gani kipya walikifanya zaidi ya kuambulia vichapo toka kwa Capevede na Lesotho, bora ile timu yake ya kwanza iliweza pata walau droo Ugenini Uganda. Na kwa taarifa yenu, timu hii itafuzu, subiri muda utaongea.GENTAMYCINE
Usiumize kichwa bure khs huyu kocha fala kwa bifu lake kwa Simba.
Kama utakumbuka, kikosi chake cha kwanza tu aliwatimua wachezaji wa Simba kwa sababu zisizo na mashiko.
Timu ilipovurunda ndio akawarudisha.
Achana nae....mwisho wake na hao wanaombeba hauko mbali.