Kocha wa Taifa Stars Amunike ameidhalilisha sana Simba SC katika Uteuzi wake hivyo siishangilii tena Taifa Stars hadi akiondoka / akifukuzwa

Kwa mechi ya leo hapo namba 4 afadhali wampange Nic Gyan au Mlipili, hii mechi ya leo ndio fainali, hii mechi ni 'do' or 'die', siamini uzoefu wa Bukaba kwa mechi kama hii.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema ' Sometimes ' ninakera je nimekuita uje ufungue huu ' Uzi ' wangu? Pumbavu.
You see.... Foul mouth

You can't post something in public and filter who reads

Create your group, select contributors and you will be happy

Otherwise tulia tu tukupe feedback bwana bisha-bisha and 'know it all' fella
 
Mmmh, hapo kwa Paul Bukaba mkuu umeingia chaka.... mimi ni Simba lakin hakuna beki boya tz kama yeye!

Sent using Jamii Forums mobile app

Umecheza Mpira wa Miguu wapi, lini na wa Kiwango gani Mkuu? Naomba tuanzie hapa Kwanza tafadhali kwani nina Mtu ambaye kweli anaujua Mpira na ameucheza kwa Kiwango Kikubwa hata cha UMISETA au UMISHUMTA au hata Ligi za Daraja za Tatu achilia mbali Daraja la Pili, Kwanza na Ligi Kuu asingesema kuwa Paul Bukaba siyo Beki mahiri. Halafu Wewe siyo Simba SC Mwenzetu kwani Simba SC hatuna ' Shabiki ' Ngumbaru na Popoma hivi kama ulivyo. Baki huko huko kwa ' Wapuuzi ' wenzio hao Yanga SC a.k.a Bakuli Msaada Omba Omba FC.
 
Mtu pekee aliyefifiza vipaji vya wazawa ni MO DEWJ.huwez huwa na kikos chenye wagen wengi kiasi kile.Mi ni mwanasimba damu ila siwez kumlaum Amunike kuchukua wachezaj watatu tu kwenye kukosi cha Simba.The man is right
 
Hata Mimi nimeshangaa sana yani kagere,chama,okwi,wawa,Juno,kotei,kwasi sijui kwanini amewaacha.KOCHA ATAKUWA NA MATATIZO HUYU
 
Sidhani kama ni haki kuchukua wachezaji ambao hawana consistency kwenye timu zao.
 
Hata Mimi nimeshangaa sana yani kagere,chama,okwi,wawa,Juno,kotei,kwasi sijui kwanini amewaacha.KOCHA ATAKUWA NA MATATIZO HUYU
Siku za nyuma kulikuwa na wazo la ku limit idadi ya foreign players. Hiyo ndiyo maana yake.
Kama starting lineup ya Simba inakuwa na Watanzania watatu, hao wengi wakuitwa Taifa Stars watatoka wapi?
Kocha lazima azingatie muda waliocheza wakiwa kwenye vilabu vyao.
 
Tazama na wachezaji aliowachukua kucheza hizo nafasi pia. Ktk hao wote, kumwacha Dilunga ndio angalau naweza kumtilia shaka, lkn sidhani kama hiki kikosi amekichagua peke yake, yupo mkurugenzi wa ufundi wa TFF, naye ni muhusika pia.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahaba yanakuendesha ndugu
 

Mkuu, ni kweli hicho kikosi cha Amunike hakijajitosheleza hasa kwenye mabeki wa kushoto na kulia. Kessy na Gadiel Michael hawana wasaidizi wa maana wenye uzoefu iwapo wataumia. Huyu kocha nahisi ana hamu ya kupopolewa mawe iwapo tutafungwa Uganda.
 
Ndugu yangu Mpendwa Gentamycine, chuki ikizidi huleta harara na harara nayo ikizidi huleta shindikizo la damu nayo ikizidi inaweza leta kifo. Tunakupenda sana hivyo basi,tunakusihi upunguze chuki zako kwani hata sisi ndugu zako tulipunguza chuki zetu tukaishabikia timu yako adhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…