Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Kwa mechi ya leo hapo namba 4 afadhali wampange Nic Gyan au Mlipili, hii mechi ya leo ndio fainali, hii mechi ni 'do' or 'die', siamini uzoefu wa Bukaba kwa mechi kama hii.1. Aishi Manula
2. Zana Coulibally
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Paul Bukaba
5. Pascal Serge Wawa ' Sultani '
6. James Kotei
7. Clatous Chota Chama ' Tripple C '
8. Mdogo wangu mwenyewe Kinondoni, Mwananyamala na Kawe Jonas Gerald Mkude a.k.a Xavi Hernandez wa Tanzania
9. Mohammed Kagere ' Kijicho '
10. John Raphael Boko
11. Rashid Juma
Matokeo ni kama haya yafuatayo: Ama Simba 2 - JS Saoura 1 au Simba 1 - JS Saoura 0 au Simba 1 - JS Saoura 1
Je una jingine?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app