Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ndio hivyo hivyo mimi naona ngoma inajirudia hiiKuna uwezekano Fainali zikaingia timu zile zile za last WC Final...yaani France na Argentina
Mbona wa Germany kagoma wakati yeye ndo ametolewa kizembe na timu dhaifu. Huyu wa Holland angebaki tuWazungu banaπ
They are very smart
Huu ni mwaka wa makebo aka mataccooAisee hii ya mwaka huu ni kali
Bado france nae anatupwa kule halafu wanakuja england wanapigwa na wacheza mayenu
Mkuu, niache kwanza namshughulikia wife wangu hapa.
πππMkuu, niache kwanza namshughulikia wife wangu hapa.
Kumbuka wife wangu ana makebo makubwa kuliko wanawake wote hapa mtaani.
Nayatendea haki kaka, usiwe na wasi.
Upo mitaa gani tuje kuprove?Mkuu, niache kwanza namshughulikia wife wangu hapa.
Kumbuka wife wangu ana makebo makubwa kuliko wanawake wote hapa mtaani.
Umemtag kabisa
Niko kwa muda hapa Makulu Dodoma,Upo mitaa gani tuje kuprove?
Mbona unaonyesha unatiatia huruma,Niko kwa muda hapa Makulu Dodoma,
Msije huku mtaona tu wivu maana mke wangu ni chuma,
Wengi wenu mkimwona mke wangu roho zitawauma,
Wengi wanamtamani ndo maana analindwa na SUMA.
π₯π₯π₯π₯πππ