Kocha wa Uholanzi Koeman ajiuzulu baada ya kutupwa nje Kombe la Dunia

Kocha wa Uholanzi Koeman ajiuzulu baada ya kutupwa nje Kombe la Dunia

Unajulikana kwa wanyonge kama hao CHAUMMA,

Walioahidi wali maharage wakashindwa kuahidi nyama,

Hauna tofauti na akina James Bunuma,

Unafaa kuwa Matron shule ya Paroma,,
Najulikana mpaka kule Peru -Lima,
watu wakiniona wanasimama wima,
wahalifu kwa nguvu wanahema,
wenye shida mbele yangu wanasema,
wasionipenda wanashika jembe wanalima.
 
Najulikana mpaka kule Peru -Lima,
watu wakiniona wanasimama wima,
wahalifu kwa nguvu wanahema,
wenye shida mbele yangu wanasema,
wasionipenda wanashika jembe wanalima.
Wanakujua Peru sababu wewe mkulima,

Kama ni mshumaa ntakuwasha ntakuzima,

Ushajikosea mvuto kama derby ya mzizima,

Nahisi wewe ndo uliyerecord connection ya Gwajima,
 
Wanakujua Peru sababu wewe mkulima,

Kama ni mshumaa ntakuwasha ntakuzima,

Ushajikosea mvuto kama derby ya mzizima,

Nahisi wewe ndo uliyerecord connection ya Gwajima,
Kule Peru wananiita Yesu yaani Emma,
walinipenda sana Kwa vile nilitenda wema,
Siku nilipotangaza narudia bongo ulisikitika umma,
sababu nilikuwa nawatendea matendo ya huruma,
hivyo, Amerika ya kusini kote napewa heshima.
 
Hawakupendi sababu ulitendwa na Sepetu Wema,

Pabaya panakuita maana umekataa pema,

Kuna kazi ya kuchunga kama unaitaka sema,

Ila hutolala ndani utalala kwenye hema,
 
Hawakupendi sababu ulitendwa na Sepetu Wema,

Pabaya panakuita maana umekataa pema,

Kuna kazi ya kuchunga kama unaitaka sema,

Ila hutolala ndani utalala kwenye hema,
Hiyo kazi ya kuchanga mpe Godbless Lema,
Mimi nakula mema kwa kile nilichochuma,
kama unataka nikugawie kidogo hii pension sema,
maana naona umepigwa na njaa hadi unahema,
njoo PM nikusaidie, lakini kwanza omba rehema.
 
Hiyo kazi ya kuchunga haitomfaa Lema,

Miguu yake laini porini atachechema,

Hauwezi kumiliki hata demu mmanyema

Njoo dar ule dili ya kutembeza vilema,

Al-mukheef
 
Hiyo kazi ya kuchunga haitomfaa Lema,

Miguu yake laini porini atachechema,

Hauwezi kumiliki hata demu mmanyema

Njoo dar ule dili ya kutembeza vilema,

Al-mukheef
Nina mademu wengi sana hapa Tanzania,
Kila kabila, waholoholo, wajita hadi wasukuma,
nimepiga mademu wa zenji hadi wa Darisalama,
njoo nikufundishe namna ya kutongoza wamama,
usije shikwa na upwiru ukabaka hao ndama.
 
Naona unajifanya mutoto ya ng'ombe Ndama,

Hufagii vizuri job na bosi anakuandama,

Akishakunyima posho pembeni unalalama,,

Kesho atakuleta Kawe mi nimupige mitama,,
 
Naona unajifanya mutoto ya ng'ombe Ndama,

Hufagii vizuri job na bosi anakuandama,

Akishakunyima posho pembeni unalalama,,

Kesho atakuleta Kawe mi nimupige mitama,,
Naona unanivua nguo baba yako hadi nachutama,
unanisema kwa kila mtu kisa nilikupiga mtama,
Nyuma haukuwa hivyo au umelogwa na mama?
baba yako sasa nyumbani nahama,
nikilala mwanisema, nikikatwa tonge kubwa mninisema,
kumbuka kiunoni mwangu ulitoka na nilikulea vema,
Wala usinifiche kama umebalehe we sema.
 
Kinachokupa msongo ni kupenda majimama,

Una-act upo real kumbe unaleta Drama,,

Hama bongo nenda hata uwe kibaka Yokohama,

Kama kesho haisomi nikupe hela ya ngama
 
Kinachokupa msongo ni kupenda majimama,

Una-act upo real kumbe unaleta Drama,,

Hama bongo nenda hata uwe kibaka Yokohama,

Kama kesho haisomi nikupe hela ya ngama
Labda uniambie Tokyo sipawezi Yokohama,
Bora niende alikofia babu yangu yaani Burma,
Au kule Illinois kwa mwanangu Gouza Chuma,
au niende Singida katika Kijiji Cha Puma.
 
Labda uniambie Tokyo sipawezi Yokohama,
Bora niende alikofia babu yangu yaani Burma,
Au kule Illinois kwa mwanangu Gouza Chuma,
au niende Singida katika Kijiji Cha Puma.
Nina Fila, Adidas lakini sivai Puma,

Kama leo utashinda ntajua hizo hujuma,

Ukija dukani kwangu wewe sikupi huduma,

Sababu mama amina ashasema wewe Guma,,
 
Nina Fila, Adidas lakini sivai Puma,

Kama leo utashinda ntajua hizo hujuma,

Ukija dukani kwangu wewe sikupi huduma,

Sababu mama amina ashasema wewe Guma,,
Nikienda msikitini huku nimevaa brand ya puma,
Huku kichwani nina baraghashia na kiatu kilichotuna,
huwa najiamini na Kwa madaha natetema,
Japo wasopenda mpira huniona maamuma,
lakini baadhi yao hunipa sifa akiwemo shekhe Juma.
 
Chukua hicho kidumu fata Luku nakutuma,,

Mlango wako dhaifu sio wa jiwe fatuma,,

UTI yako sugu imeshadunda Azuma,,

Kichwani kipilipili hakuna wa kukifuma
 
Chukua hicho kidumu fata Luku nakutuma,,

Mlango wako dhaifu sio wa jiwe fatuma,,

UTI yako sugu imeshadunda Azuma,,

Kichwani kipilipili hakuna wa kukifuma
Uko sawa kweli! Mbona unakula wali kwa uma?
kavunjwa Pakome wewe unasema Chama,
Unamkimbia paka unasema ni duma,
badala ya kusema 'kama' wachapia wasema kyuma,
je, wewe ni chawa wa Israel kama LOTH HEMA?

Al-mukheef.
 
N
Ronald Koeman amejiuzulu rasmi kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 katika hatua ya 32 bora kufuatia kufungwa na Morocco kwa mikwaju ya penalti.

Koeman ametangaza uamuzi huo siku moja baada ya kipigo hicho kilichokatisha safari ya Uholanzi kwenye mashindano hayo.

Katika mchezo huo, Uholanzi ilikuwa ikiongoza kwa bao 1-0 hadi dakika za mwisho kutokana na bao la Cody Gakpo. Hata hivyo, Morocco ilisawazisha mabao katika dakika za nyongeza kupitia Issa Diop, kabla ya kushinda kwa mikwaju ya penalti.

Koeman amesema kuwa ndoto yake kubwa ilikuwa kutwaa Kombe la Dunia, lakini haikutimia. "Ndoto hiyo haikutimia. Hata hivyo, ninajivunia kila kitu ambacho soka limenipa, watu ambao nimekutana nao katika safari yangu, na nafasi ya kuifanya shauku yangu kubwa kuwa taaluma yangu,” aliandika.
i kawaida kwa kocha anayefungwa
 
Back
Top Bottom