James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,152
- 4,003
Ufaransa sina shaka nae, kituo kinachofuata ni pale kwenye ardhi ya mwanamfalme CharlesAisee hii ya mwaka huu ni kali
Bado france nae anatupwa kule halafu wanakuja england wanapigwa na wacheza mayenu
Dah hizo sasa shutumaMbona unaonyesha unatiatia huruma,
Utadhani mrembo mzuri ambae anaeuza k...,
Machozi yatakutiririka ka maji ya mto ruvuma,
Maana huwezi zuia wahuni tunavyounguruma..
😂😂😂 Al-mukheef
Inawezekana wa Ujerumani hakujicommit na kudeclare kuwa anachotaka ni kombe, huyu ameona hajafikia malengo na huenda uwezo wakeumeishia hapo...hajang'ang'aniaMbona wa Germany kagoma wakati yeye ndo ametolewa kizembe na timu dhaifu. Huyu wa Holland angebaki tu
Argentina waombe tu Messi asiumie, akiumia hamna kitu wanafanya hawa wachezaji wengine pale mbeleNdio hivyo hivyo mimi naona ngoma inajirudia hii
Hadi hapa atakuwa ashakusoma,Dah hizo sasa shutuma
Ajiangalie asijemeza azuma
Au wakamchuna kwa huduma
Wakampukutisha bila huruma
Humjui Alvarez nadhaniArgentina waombe tu Messi asiumie, akiumia hamna kitu wanafanya hawa wachezaji wengine pale mbele
Sasa yamefikaje mambo ya SodomaHadi hapa atakuwa ashakusoma,
Sio mwizi ila umeamua kumchoma,
Au kumfanyia kama mpo sodoma,
Ni wa Mafiati wala sio wa Dodoma,
We nae sijui ni wa Kigoma?Sasa yamefikaje mambo ya Sodoma
Au mimi ndo sijui kusoma
Hayo ya Sodoma
Nikiyasikia yananipa homa
Duh bro acha nomaWe nae sijui ni wa Kigoma?
Maana kama ni nazi umechagua Koroma,
Haupo sabato, Lutheran wala Roma,
Wangekulifanya ndafu ungelikuwa Musoma
Mistari inakwamakwama?Duh bro acha noma
Mimi sio wa Kigoma
Naona mistari inagoma
Maana nafikiri mpaka napata homa
Wala sijali na sitii huruma,Mbona unaonyesha unatiatia huruma,
Utadhani mrembo mzuri ambae anaeuza k...,
Machozi yatakutiririka ka maji ya mto ruvuma,
Maana huwezi zuia wahuni tunavyounguruma..
😂😂😂 Al-mukheef
Kama ungekuwa majani ningekuchuma,Wala sijali na sitii huruma,
bali nawasihi msije huku kwa gia ya kunifuma,
kubukeni mi ni mkimya ila nina roho mbaya kama duma,
Nisije nikawatia adabu kali hadi mkahama,
yaani nitawanyoosha kama yule mwenzenu juma,
ambaye nilimkanya hadi akawa 'lokole' na na bibilia anasoma.
Mimi ni mtu maarufu lakini Sina noma,Kama ungekuwa majani ningekuchuma,
Huwezi kuwa hata mfagiaji ofisi za Seguruma,
Chagua mwenyewe Msata, Mikese au Tunduma,
Ningekuwa Meddy ningekuimbia Dusuma..
Unajulikana kwa wanyonge kama hao CHAUMMA,Mimi ni mtu maarufu lakini Sina noma,
nafahamika kwa watu wengi, akina Jacob Zuma,
Levo zangu siyo zile za viongozi wa CHAUMA,
ambao kutwa wanagombania wali hadi huruma,
maneno yangu yanaponya but sometimes yanachoma,
Hivyo, wasionipenda nambari wanaisoma.
Namjua vizuri sana huyu dogo wa Atletico, ni shooter mzuri ila hana confidence na ukomavu wa MessiHumjui Alvarez nadhani
Mkuu, ukimpima kwa daraja alilopo Messi utashindwa kubaini uziri wake. Mtazame kwa kile alicho nacho ila sio kumuweka kwenye daraja sawa na Lionel. Binafsi naamini ana kituNamjua vizuri sana huyu dogo wa Atletico, ni shooter mzuri ila hana confidence na ukomavu wa Messi
Ndio, dogo ni bonge la striker ila najaribu kumpima akifight na mabeki kama wa France halafu wenzake ndio hao kina Lautaro na wengine then Messi hayupo...sijui kama unapata point yangu vizuri...I mean performance yake anapokutana na timu kubwa atakuwa na utulivu?Mkuu, ukimpima kwa daraja alilopo Messi utashindwa kubaini uziri wake. Mtazame kwa kile alicho nacho ila sio kumuweka kwenye daraja sawa na Lionel. Binafsi naamini ana kitu
Ni kweli, anaweza akawa sio decisive kama Messi kwenye game kubwa. Tusisahau Messi ni Gifted kabisa.Ndio, dogo ni bonge la striker ila najaribu kumpima akifight na mabeki kama wa France halafu wenzake ndio hao kina Lautaro na wengine then Messi hayupo...sijui kama unapata point yangu vizuri...I mean performance yake anapokutana na timu kubwa atakuwa na utulivu?
Yep kabisa, beki anayeenda kumkaba Messi anawaza kuliko anayemkaba AlvarezNi kweli, anaweza akawa sio decisive kama Messi kwenye game kubwa. Tusisahau Messi ni Gifted kabisa.
Huyu yeye ataoffer kile alichonacho na jitihada atakazoweka tu kwenye game husika, sio sawa na kile kitakachokuwa displayed na mkubwa wao. Kikubwa ni kuomba Lionel awe safe mkuu, asiwe injured