Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
📝
"Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"

Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad

14AC96FA-1655-4F8F-93E5-81FE5A7ED522.jpeg

📝
"Nilikua siijui Simba,nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"

Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad
View attachment 2578759
Habari za kuokoteza na za upotoshaji. Ukiambiwa ulete source unakimbia.
 
Unless ni mkwara na Banter basi hajui kazi yake...,(kutokujua sio sifa),sababu inaonekana hafayi homework, let alone Simba inabidi hata ajue Timu za Huko Timbuktu. hio ndio kazi yake inabidi ale, alale na kuamka football (he is getting paid for that)...

By the way kawapa motivation wapinzani
 
[emoji404]
"Nilikua siijui Simba,nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"

Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad
View attachment 2578759
Mikwara ya kichaa cha dogi.. Kama alikuwa haifahamu SIMBA hiyo sio sifa ni ujinga na ni undezi
 
Hawa ndezi wa Utopolo wanajiona kama wameshaingia nusu fainali vile. Wakifumuliwa na wababe wao wale wale waliowapiga nje ndani sijui wataficha wapi nyuso zao au kwa vile ni mazezeta wataona poa tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo, kocha wa Wydad kasema na haya? Maana umebwabwaja nje ya topic by far..!!
 
Back
Top Bottom