Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

We jamaa kiazi kweli yaan,..mpira ni mchezo wa wazi hivyo ikitokea either simba or waydad kapoteza mchezo basi tunasema aliyepoteza mchezo kazidiwa kimbinu etc...masuala ya sijui simba wakifungwa mashabiki tutaweka wapi sura zetu,hapo ndo ushabiki maandazi unapoanzia.

mda yeyote wa mpira mwenye akili timu hawezi jutia kupangiwa kucheza na timu zilizomzidi kiwango,sana sana ataona ni fursa kubwa na adimu kwake ili na yeye siku moja afikie level hizo na pengine hata kuwazidi wao..kuchukua ubingwa wa cafcl sio mpango wa muda mfupi tu...

Hivyo ikitokea simba kaishia hapa,hakuna haja ya kulaumu bali tufanye kinyume chake
 
[emoji404]
"Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"

Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad

Hata kocha wa Horoya na yule rais wao walianza hivi hivi. Ni kwamba hawa Wydad tunawakamua hapa hapa kwa Mkapa na kwao.
Niko pale
 
Wewe upo luzaz mambo yanayohusu mabingwa wa afrika unapata wapi idhini ya kuyaongelea?
 
Nawashangaa sana watu mnavyojipa matumaini humu ndani
 
[emoji404]
"Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"

Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad

Hakuna Kocha anayestahili kuitwa jina hilo akatamka maneno ya Kiutopolo kama haya .
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Msitishike watani, msikubali kabisa hizi dharau. Ila, zidisheni maimbi.
 
[emoji404]
"Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"

Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad

IMG_8129.jpg
 
huyu kocha wao naona ana matokeo yake mfukoni tayari 😀
 
📝
"Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"

Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad

Anafuata nyayo za kocha wa Horoya!! Kocha wa Horoya alipokuja Dar alisema Simba ni timu ndogo yenye makelele mengi mtandaoni!! Jibu alilipata kwa mkapa baada ya kupigwa wiki!! Aliondoka kimya kimya!!! Uzuri Wydad wanaanzia kwa Mkapa!!
 
Back
Top Bottom