Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Habari za kuokoteza na za upotoshaji. Ukiambiwa ulete source unakimbia.π
"Nilikua siijui Simba,nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"
Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad
View attachment 2578759
Mikwara ya kichaa cha dogi.. Kama alikuwa haifahamu SIMBA hiyo sio sifa ni ujinga na ni undezi[emoji404]
"Nilikua siijui Simba,nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi"
Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad
View attachment 2578759
Kwahiyo, kocha wa Wydad kasema na haya? Maana umebwabwaja nje ya topic by far..!!Hawa ndezi wa Utopolo wanajiona kama wameshaingia nusu fainali vile. Wakifumuliwa na wababe wao wale wale waliowapiga nje ndani sijui wataficha wapi nyuso zao au kwa vile ni mazezeta wataona poa tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app