Kocha wa Yanga afungiwa kuiongoza timu yake katika mechi tatu. Mwamuzi aliyekataa goli la Ruvu Shooting afungiwa miezi mitatu

Hizo kanuni kwani zimewekwa na Mungu hadi tusihoji?

Ungewashauri TFF ndo waache kuhangaikia hivyo vitu vidogo vidogo.
Kumbe kuna mambo mengi tu hujui yanavyokuwa. Kanuni zinatungwa na Bodi ya Ligi mapema kabisa kabla mashindano hayajaanza. Bodi ya Ligi inaundwa na wajumbe ambao kuna mwakilishi katika kila lkabu inayoshiriki ligi husika, ikiwamo Yanga. Kama humjui mjumbe wa Bodi ya Ligi anayeiwakilisha Yanga, waulize viongozi wako wakutajie fasta, ili maswali mengine umuulize huko huko, kwamba kwa nini ulipitisha katazo la vipensi wakati unajua kocha wetu anavipenda?
 
Mkuu linaonekana kirahisi tu. Ni namba 1 kabla ya kipa Wa Tunduwazi FC. Asante kagera kwa kutoboa Tundu na kuacha uwazi
Labda umejisahau ukidhani msimu huu point zinaendelezwa za msimu uliopita. Ngoja nikuwekee msimamo wa ligi uwaone waliotobolewa matundu msimu huu, na mengine yakakataliwa
 
Muongo Mkubwa wewe makocha ulaya wameendelea/wataendelea kuwalaumu marefa watapofanya fyongo
 
Makocha kuvaa suti kunasaidiaje kuinua soka letu?
Kuelekea mechi ya Ruvu shooting...
Kocha amesema alipewa taarifa na viongozi wake kuhusu mavazi yake, Kocha akasema muda hauruhusu hawezi kubadili mavazi kwa muda huo labda mechi nyingine.
Taarifa alipata, kama sheria na taratibu zinakataza hakuna haja ya kulaumu.
 
Mfano hai n hizi mechi za ufunguzi, mtu katoka Botswana moja kwa moja kwenye mechi. Aliyekuwa Dar kaachwa mpaka Alhamisi apumue..Wallah Karia anaua.
 
Labda umejisahau ukidhani msimu huu point zinaendelezwa za msimu uliopita. Ngoja nikuwekee msimamo wa ligi uwaone waliotobolewa matundu msimu huu, na mengine yakakataliwa
Acha hizo wewe Rais Wa nchi alituambia wana Simba wanatembea wazi baada ya Tundu kutobolewa na Kagera Sugar. Au hukuwepo taifa/hata clip hukuona?
 
NB: Timu sita zitashuka daraja kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya msimu huu, nne za chini moja kwa moja na ya tano na ya sita kutoka chini zikilazimika kucheza play-off matches. Na hiyo msije mkasema mlikuwa hamuijui
 
Hizi zahera anacheza namba ngapi pale yanga?maana TFF na mabwanyenye fc wanamhofia sana huyu jamaa.
Kwenye vikombe vinne (4) amekosa vyote msimu uliopita.
Anahofiwa kwa lipi?
 
VOGORO FC .....mmefurahi
 
Yanga FC v. TFF
Tayari tumeanza kufungwa. Mkakati walio nao TFF kuendelea kuminya ratiba Kama mwakajana na kutengeneza makosa. Hitimisho Simba aibuke mshindi
Ruvu shooting vs TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…