Na awe tayari kutumikikia adhabu.. Anataka ligi iende anavyotaka yeye.Zahera yupo sahihi kuituhumu bodi ya ligi. We hadi pre season inakaribia kuisha na sijui iliisha kabisa, ratiba ya ligi haijulikani kweli!? Halafu kama bodi ya ligi ipo kwa ajili ya kuibeba simba ni lazima isemwe,hata asiposema Zahera tutasema sisi mashabiki
Anavaa hovyo yule... Suti si issue apige kama akina kloop au gurdiolaDana mtafutia tu angle ya kumuondoa hapa nchini kutokana kusema udhaifu wao hadharani
Mpewe nyie mpange ratiba, sababu kila kitu mnajua.Mfano hai n hizi mechi za ufunguzi, mtu katoka Botswana moja kwa moja kwenye mechi. Aliyekuwa Dar kaachwa mpaka Alhamisi apumue..Wallah Karia anaua.
Simba alikuwwa Tz au nje?Mpewe nyie mpange ratiba, sababu kila kitu mnajua.
Umecheza mechi tar 24 hadi 28.. unalalamika
Simba tar 25 hadi 29 tatizo nini?
Wakina kim Paulsen mbona walikua wanavaa vibukta tu
Yanga ni Kubwa kuliko tff wewe. Hafu unapendekeza huyo ndevu Wa mbumbumbu FC apewe timu ya taifa wakati hata nyie mbumbumbu wenyewe mmemweka tenge. Useless sredi hii.
Simba alikuwwa Tz au nje?
Alikuwa Tz, angalia tarehe sio nje wala ndani.Simba alikuwwa Tz au nje?
Hata la mkono hawakupata..Mlifunga Goli / Bao lolote lile dhidi ya Ruvu Shooting na likakataliwa na Mwamuzi?
Sawa mbumbumbu fanMkuu linaonekana kirahisi tu. Ni namba 1 kabla ya kipa Wa Tunduwazi FC. Asante kagera kwa kutoboa Tundu na kuacha uwazi
Msimamo wa ligi kuu 1989
Hapa nusura tushuke daraja... ilishakuwa zilipendwa.Msimamo wa ligi kuu 1989View attachment 1197393
1988 simba alibebwa na Yanga katika mechi ya mwisho kwa simba kushinda 2-1 na Coast Kuwait bingwa. Yanga walikubali kuukosa ubingwa ili ambebe simba isishuke daraja.Hapa nusura tushuke daraja... ilishakuwa zilipendwa.
Historia, ila inapotoshwa! Kama Simba angefungwa na Yanga hata magoli kumi, angebaki na pointi 19 (kumbuka wakati huo mshindi alikuwa anapata pointi 2, droo point 1 na kufungwa point 0). Sasa kwa point 19, Simba bado angebaki kuwa juu ya timu mbili za chini! Wazee wa historia msipotoshe π π π1988 simba alibebwa na Yanga katika mechi ya mwisho kwa simba kushinda 2-1 na Coast Kuwait bingwa. Yanga walikubali kuukosa ubingwa ili ambebe simba isishuke daraja.
Kwa hiyo unaunga mkono juhudi za Zahera kuwalaumu marefa waliokataa goli la Ruvu Shooting π π πMuongo Mkubwa wewe makocha ulaya wameendelea/wataendelea kuwalaumu marefa watapofanya fyongo
Mlifunga Goli / Bao lolote lile dhidi ya Ruvu Shooting na likakataliwa na Mwamuzi?
Acha uongo...1988 simba alibebwa na Yanga katika mechi ya mwisho kwa simba kushinda 2-1 na Coast Kuwait bingwa. Yanga walikubali kuukosa ubingwa ili ambebe simba isishuke daraja.View attachment 1197449
Ilo jedwali lamsimamo wa ligi ni la mwaka1989.Simba alibebwa 1988. Simba 1989 simba alimaliza naAfrican sport pale Taifa mechi Iilikua 1-1. Yanga ilimaliza na majimaji SongeaYanga ikashinda 1-0 Kwa golila kichwa laAbeid. Mziba na kuutwaa ubingwa kutoka Kwa Cost.Acha uongo...
Simba alimaliza na point 21 ukitoa za kuwafunga Yanga mechi ya mwisho zinabaki point 19.
Wa chini yake alishuka akiwa na point 18.. Sasa alibebwaje?
NB:Kumbuka kipindi hicho ushindi ni point 2.
Mbona hueleweki..?Ilo jedwali lamsimamo wa ligi ni la mwaka1989.Simba alibebwa 1988. Simba 1989 simba alimaliza naAfrican sport pale Taifa mechi Iilikua 1-1. Yanga ilimaliza na majimaji SongeaYanga ikashinda 1-0 Kwa golila kichwa laAbeid. Mziba na kuutwaa ubingwa kutoka Kwa Cost.
Simba alibebwanaTukuyustars baada ya kutokasareya 5-5 mwaka 1987, Akabebwa na Yanga1988, Akabebwa naAfrican Sports 1989 Kwa sare ya 1-1 pale Shamba la bib.