3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Na awe tayari kutumikikia adhabu.. Anataka ligi iende anavyotaka yeye.Zahera yupo sahihi kuituhumu bodi ya ligi. We hadi pre season inakaribia kuisha na sijui iliisha kabisa, ratiba ya ligi haijulikani kweli!? Halafu kama bodi ya ligi ipo kwa ajili ya kuibeba simba ni lazima isemwe,hata asiposema Zahera tutasema sisi mashabiki
Simba anabebwaje hapa sasa kama sio woga umewajaa