Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ukae kimya.....!! Utaondoka kabla pasaka...Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki wView attachment 3206228
dhaifu ni kichwa chake taka takaSead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki wView attachment 3206228
Kama jana alipaswa kuwa na mbinu zaidi ya moja zenye kuifungua ngome ya mpiznani aliayeamua kuzuia zaidiMh! swala sio ligi swala ni mbinu yeye kama kocha
Ligi ya Tanzania anaiona laini kwa sababu ananunuliwa mechi kwa kuhonga marefa na pia kuhonga timu pinzani kupitia udhamini feki.Sasa huko CAF hakuna huo ujinga.Mh! swala sio ligi swala ni mbinu yeye kama kocha
Kama timu inanunua mechi huwezi kutegemea wakaenda popote kimataifaSead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki wView attachment 3206228