Kocha wa Yanga atapona kweli msimu ujao?

Game 40 bila kupoteza, siku 501 bila kufungwa wewe ni mchawi, Zoran yuko wapi?

Zorani amepata timu inamlipa ela nyingi zaidi, ni kama vile nabi alipata timu Ila hakuamua kwenda akabakia yanga

Zoran ajafukuzwa Ila ameomba kuvunja Mkataba kwenda kwenye maslai makubwa

Ni kama ww mke wako aamue kuachana na ww wa IST aende Kwa mtu mwenye BMW
 
Zoran amekiangalia kikosi na masharti ya nusu fainali kaona awa hamnazo ngoja ni sepe.
 
Back
Top Bottom