Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kivipi apa mkuu?Hii mechi kwa asilimia kubwa itachezwa zaidi na viongozi kuliko kocha
Bigwa wa kula mandazi?YANGA BINGWA
🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😃🤣🤣🤣Kocha la mchongo linajilinda hata likipigwa leo litasema ndio mara ya kwanza.Hamna kocha hapo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila watu mnamaneno hatari sana eti saida lamavuziKOCHA WA YANGA : "SAIDA RAMAVUZICHI"