Kocha wa Yanga, Ramovic aingia ubaridi, asema ni mara yake ya kwanza ligi ya Mabingwa

Watu kwa kubadili jina mkovizuri Eti saida ramavuzichi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema!
"Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa nikiwa na timu kubwa ya Young Africans SC. Falsafa yangu kubwa ni nidhamu na kujituma. Napenda kuona wachezaji wakicheza kama timu, haijalishi unatumia mfumo gani kama wachezaji wako hawana umoja ni ngumu kupata matokeo’’

Yanga inatarajia kucheza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Al Hilal ya Sudan katika uwanja wa nyumbani wa Benjamin William Mkapa.
Kusema kwamba ni 'mara ya kwanza' ndiyo kuingiwa ubaridi? Ndiyo maana viongozi wenu na wanasiasa wenu wamechagua kuishi nanyi kwa kuwadanganyeni mwanzo mwisho sababu ndiyo lugha mnayoioenda na kuielewa zaidi...UONGO!
 
Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema!
"Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa nikiwa na timu kubwa ya Young Africans SC. Falsafa yangu kubwa ni nidhamu na kujituma. Napenda kuona wachezaji wakicheza kama timu, haijalishi unatumia mfumo gani kama wachezaji wako hawana umoja ni ngumu kupata matokeo’’

Yanga inatarajia kucheza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Al Hilal ya Sudan katika uwanja wa nyumbani wa Benjamin William Mkapa.
Kwa nukuu hiyo ubaridi alioingia uko wapi?
 
Back
Top Bottom