Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha

Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Sasa itakuwaje wakuu.

Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC aliwahi kuzungumza katika moja ya mkutano na waandishi wa Habari Afrika Kusini alisema;

"Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji kufanya party na pia sitaki mtindo wa maisha wa kutokujali na kama utataka kufanya haya nitakutoa."

Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
 
MAFAZA WA YANGA

1000277947.jpg
 
Kocha katoka TX Galaxy timu imepoteza michezo 4 na kutoka sare michezo 2 kwenye michezo 6.
NI ya mwisho kwenye ligi ya Premiership South Africa. Huyu hafiki Januari.
 
Back
Top Bottom