Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha

Fadlu aliishusha timu daraja lakini akachukuliwa na Simba, acha unafiki
Fadlu alitoka Raja Casablanca ikiwa imechukua ubingwa na kombe la mfalme.
Data za sasa hivi leta.Huyo kocha katokea timu amefutwa baada ya mechi 6.
Fadlu alichukuliwa na Simba kutoka timu ipi?
Unafiki unao wewe wa kujaribu kuficha ukweli.
 
Tunazungumzia akiwa kocha mkuu sio kufanya kazi kwa mgongo wa mwenzie
 
Sasa alipokuwa kocha mkuu alikuja Simba?Una mtindiowa akili?
Mtindio wa akili unao wewe unayechukua uwezo wa kocha kwa kuwa kocha msaidizi badala ya profile yake aliyokuwa nayo walati akiwa kocha mkuu wa timu.
 
Kocha wa Azam R.Tausi amesema Gamondi alikuwa kocha wa viungo walipokuwa wakifanya kazi nae.Povu zimewajaa kuwapa habari kwamba kocha wenu mpya alikuwa kocha TX Galaxy na kwenye michezo 6 ya hivi karibuni hajashinda mechi hata moja.Kupoteza 4 sare 2.
Ukweli huu haufutiki.
Leteni takwimu za Fadlu za hivi karibuni.Sio takwimu za zamani kwani hata Mourinho aliwahi kuwa mkalimani.
 
Achague yanga au mimoshi
Kocha Hadi wachezaji weekend wanashinda club..imagine kocha anaimba mtoto kautakaa kautakaa
Aziz akimaliza anaondoka na akina Vanessa,pacome anaondoka na caren Simba,mkude anaondoka na kajala,rais wao msomali anaondoka na mobebe,aucho nae anaokota msambwnda wake,tutarajie Nini mbeleni?
 
Aziz akimaliza anaondoka na akina Vanessa,pacome anaondoka na caren Simba,mkude anaondoka na kajala,raid anaondoka na mobebe,aucho nae anaokota msambwnda wake,tutarajie Nini mbeleni?
Hizi habari zimejulikana baada ya kipigo cha Tabora United?Ni aibu kubwa kwa kocha kutosimamia nidhamu.Mbona hukumtaja Mhandisi ambaye ndio mkuu wa msafara kwenye hiyo misafara ya starehe?
Si mlikuwa mnaimba mtoto kautaka?Leo imekuwa nongwa?
 
Kocha Hadi wachezaji weekend wanashinda club..imagine kocha anaimba mtoto kautakaa kautakaa
Aziz akimaliza anaondoka na akina Vanessa,pacome anaondoka na caren Simba,mkude anaondoka na kajala,rais wao msomali anaondoka na mobebe,aucho nae anaokota msambwnda wake,tutarajie Nini mbeleni?
🤣😂🤣🤣
 
Gongowazi wanadai eti nidhamu ya timu ilikuwa imeporomoka wakati wengi wao walikuwa wanaunga mkono wachezaji kukesha baa na kuwapa sifa za ajabu eti waletwe malaika wacheze nao. Sasa akili zimewarudia wamekuwa kama kenge mpaka damu ziwatoke ndio akili irudi.
 
Kocha Hadi wachezaji weekend wanashinda club..imagine kocha anaimba mtoto kautakaa kautakaa
Aziz akimaliza anaondoka na akina Vanessa,pacome anaondoka na caren Simba,mkude anaondoka na kajala,rais wao msomali anaondoka na mobebe,aucho nae anaokota msambwnda wake,tutarajie Nini mbeleni?
Taratibu basi unasigina kunguni
 
Taratibu basi unasigina kunguni
Wameniuzi sana sana yanga.mi nkajua kipiho Cha azam wanatakuja kulipa Kwa hasira ndo kwanza wanapigwa tatu..nna hasira nao hawa.ningekua na jezi ningeitupa chini ya uvungu
 
Back
Top Bottom