Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
😂😂 mambo ya Shisha sasa itakuaje?Nakala iende kwa DJ ki mimoshi... Nasikia mchizi akiwa club huwa anakuwa kama garimoshi 🤣😂
Akija na upepo wa TS Galaxy kazi ipo msimu huuSawa baba tunakusubiri jangwaani
Anakaa chumba cha djNakala iende kwa DJ ki mimoshi... Nasikia mchizi akiwa club huwa anakuwa kama garimoshi 🤣😂
Achague yanga au mimoshi😂😂 mambo ya Shisha sasa itakuaje?
Fadlu aliishusha timu daraja lakini akachukuliwa na Simba, acha unafikiKocha katoka TX Galaxy timu imepoteza michezo 4 na kutoka sare michezo 2 kwenye michezo 6.
NI ya mwisho kwenye ligi ya Premiership South Africa. Huyu hafiki Januari.