Mbona umeandika kwa kupaniki?Huyu kocha ,ameajiriwa kuja kufundisha soka, sio kujifunza soka! Analipwa pesa nyingi sana kwa mwezi na ghalama zote za malazi pamoja na usafiri ili tu aje afundishe soka ! Yeye ni mtaalamu wa benchi la ufundi ! Iweje Leo anasema ameenda afcon kujifunza? Tunamlipa ili akajufunze? Au tunamlipa afundishe!? Tulitegemea yeye kutupa nguvu sisi sasa anatuondoa kwenye passion ya kushinda ,aondolewe mapema inaonekana haijui kazi yake kwa sasaa
HahahaYeye ndio anakaa na wachezaji anawaona...
Hawajui kutuliza mpira..
Hawajui formation..
Acha wajifunze boli kwanza
Walimu wako walipata sana tabu wakati unasomaHuyu kocha ameajiriwa kuja kufundisha soka, sio kujifunza soka! Analipwa pesa nyingi sana kwa mwezi na gharama zote za malazi pamoja na usafiri ili tu aje afundishe soka! Yeye ni mtaalamu wa benchi la ufundi!
Iweje Leo anasema ameenda afcon kujifunza? Tunamlipa ili akajifunze? Au tunamlipa afundishe!? Tulitegemea yeye kutupa nguvu sisi sasa anatuondoa kwenye passion ya kushinda, aondolewe mapema inaonekana haijui kazi yake kwa sasaa.
Vipi kama kauli yake ni mind games?, Unamkumbuka Mourinho na kauli zake za kudanganya makocha wenziwe.Huyu kocha ameajiriwa kuja kufundisha soka, sio kujifunza soka! Analipwa pesa nyingi sana kwa mwezi na gharama zote za malazi pamoja na usafiri ili tu aje afundishe soka! Yeye ni mtaalamu wa benchi la ufundi!
Iweje Leo anasema ameenda afcon kujifunza? Tunamlipa ili akajifunze? Au tunamlipa afundishe!? Tulitegemea yeye kutupa nguvu sisi sasa anatuondoa kwenye passion ya kushinda, aondolewe mapema inaonekana haijui kazi yake kwa sasaa.